Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Huna habari kuwa viporo haviliki wewe...haya!!
Vinalika sn tu Mkuu!
Huna habari kuwa viporo haviliki wewe...haya!!
Utafiti palikua pametulia hapa...sasa wewe unataka pachafuke tena.
Na ni wiki ijayo tu naanza kusafisha store yangu yakuweka makombe
Tupo mkao wa kula mamito. Tatizo wengine hatuwezi kuchanganya madessa. Nikiangalia gem naingia ndani ya screen kabisa...
Na kile kiporo akipigwa tu, mimi nampiga na man u anampiga (smile kidogo)....hapo vipi??
Pamoja sana mkuu, pamoja na kua naamini tutashinda ila wakiongeza idadi ya magoli sanchez na giroud itakua safi sana