Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu pole sn rafiki yangu...napenda sn jinsi ulivyo na busara kwa kuelewa maana ya michezo...Mara nyingi hua tunataniana lkn dakika 90 ndio kila kitu.

Mtakua na pengo la Skrtel na Can ktk michezo yenu miwili ijayo.




Bora BAK umeliona hilo maana akikununia huyo utaomba ardhi ipasuke..




Safi sn....kaka yako yuko pouwa sn anajua maana ya michezo haswaa.

Bigup sn Malafyale

Hata ww sasa unayaogopa Majogoo!BB kalala pale pale kwake

Nakuja Darajani kukuchana chana kabisa
 
Last edited by a moderator:
QPR tunakwenda kuwazika wazimawazima weekend hii ijayo alafu ndio iwe zamu yenu sasa wapinzani wetu!
Ntuzu
Kama uliangalia mechi baina ya QPR vs Aston Villa, lazima utakuwa umepata wasiwasi kidogo. Kwa msimu huu, mechi hii ilikuwa ya aina yake katika michezo yote niliyoiangalia. Kama hukubahatika kuiona mechi hii tafuta highlights uone walivyosakata kabumbu.
Sasa wakicheza kwa kiwango walichocheza na Aston basi mmeumia.
 
Jack Wilshere is not for sale, Arsenal boss Arsene Wenger tells Manchester City

Manchester City are interested in Arsenal midfielder Jack Wilshere


But Arsene Wenger insists the England international is not for sale
Wilshere, Abou

Diaby and Mikel Arteta passed fit for Burnley clash
Laurent Koscielny facing fitness
test on injury sustained against Liverpool

gun__1419238121_debuchy_liverpool22b.jpg



#COYG
 
Jack Wilshere is not for sale, Arsenal boss Arsene Wenger tells Manchester City

Manchester City are interested in Arsenal midfielder Jack Wilshere


But Arsene Wenger insists the England international is not for sale
Wilshere, Abou

Diaby and Mikel Arteta passed fit for Burnley clash
Laurent Koscielny facing fitness
test on injury sustained against Liverpool

gun__1419238121_debuchy_liverpool22b.jpg



#COYG

Man City wapandishe dau kwa the BEST MIDFIELDER the EPL has seen Abou Diaby tutawasikiliza.
 
Ile ni Man City na hii ni Chelsea Mkuu!

Tena Mkuu usifikiri kwamba ni utani Mkuu!

Haiwezekani na haitowezekana bado michezo 7 ligi iishe na tuna mchezo mmoja mkononi alafu tunaongoza kwa tofauti ya points 7 mpk 8 dhidi ya washindani wetu waliochomoza hivi karibuni alafu eti tushindwe kuchukua kombe!? Yani ata km kwa kufia uwanjani wachezaji watakufa safari! Alafu washindani wetu ndio tunakutana na nyie hivi karibuni alafu tuwaache kweli? Huu utakua ni wehu kabisa.
Ninachokupendea huwa unakomaa mpaka mwisho....sema tu mwaka juzi sijui ulipatwa na nini maana ulijificha kwenye Dari la nyumba baada ya dhahma ya ubingwa kupotea,....Hahaaaa hili hata Piere. Fm analijua, nangojea ya mwaka huu...kituko!!
 
Last edited by a moderator:
Ninachokupendea huwa unakomaa mpaka mwisho....sema tu mwaka juzi sijui ulipatwa na nini maana ulijificha kwenye Dari la nyumba baada ya dhahma ya ubingwa kupotea,....Hahaaaa hili hata pierre.Fm analijua

Sizinga mi huwa sijifichi darini bwana!

We ndo umepotea umeikimbia timu yako! Piere. Fm ananijua vzr kua nipo na wakati wote nipo!
 
Last edited by a moderator:
Sizinga mi huwa sijifichi darini bwana!

We ndo umepotea umeikimbia timu yako! Piere. Fm ananijua vzr kua nipo na wakati wote nipo!
Siwezi kuikimbia timu mkuu...Im back!! Tutapambana hapa mpaka May kieleweke, ni majukumu flani tu yalinusumbua hapa kati....Mpaka kieleweke.
 
Siwezi kuikimbia timu mkuu...Im back!! Tutapambana hapa mpaka May kieleweke, ni majukumu flani tu yalinusumbua hapa kati....Mpaka kieleweke.


Usijali Sizinga tuko pamoja sn kaka na pole kwa majukumu Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Arsenal wawaa!

Hapa ndoto ni kumfukuzia yule chadomo hatimaye tumpiku vizuri, Le Prifessor tupo nyuma yako, waambie vijana wako kaza buti!!!
 
276DC15D00000578-0-image-m-60_1428673709110.jpg


Vijana walikuwa Colney kwa mazoezi ya mwisho mwisho . ..
Kujiandaa kwa mtanange wa kesho ... ..... .Kick off 5:30 BST Live on Sky Sports 1


zp_546957033_SM_5021_FBFADED92777F8E2F12E8844324D93A2_8266.jpg


Who else .... .... ...

zp_546957033_SM_5026_AE670E051160847D996B710275CC46B9_6473.jpg


zp_546957033_SM_5029_FBC82A0B37E562BA37B5D73ED50CDA08_7527.jpg


Abou Diaby .... .

zp_546957033_SM_4963_618089E0ED857759214610646FCBF16F_6732.jpg


zp_546957033_SM_4990_D7547AFF89C43A831D098E4462A24BA4_5762.jpg


#COYG
 
Back
Top Bottom