Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Giroud can't quit scoring. Good for him after all slates he received few months ago. The best CF in 2015 per goal ratio
 
Hilo la damu nzito kuliko maji nalijua sana ndio sababu nampa pole kaka yako ili usije kuninunia bure kwa kumkwaza kaka mpendwa 🙂🙂

Japokuwa alitamba sana huruma ya kindugu imenishika naomba tumsamehe kile kigodoro chetu hakitakuwepo, samahanini kwa usumbufu damu nzito kuliko maji, lol
 
Hongereni Arsenal
Mlistahili ushindi
Mlikuwa bora dimbani zaidi yetu
Ndiyo soka tutarudi Melwood kuangalia wapi tulikwama tujirekebishe!

Kwa Mara ya kwanza historia inawekwa hapa jamvini kaka yangu amekubali matokeo, ubarikiwe sana na pole kwa yote ndo soka hilo.
 
Arsenal watamu! Kwa hali hii manager & player of the month atatoka Arsenal mwezi huu tena
 
Mech ya mwisho kwa charzz Hilary na anaondoka na ushindi wa Tim yake ya Arsenali anaondoka kwa furaha BBC hongera sana chazz Hillary karbu Nyumbani
 
Nilikuwa sijaliona goli la Giroud, kumbe nalo lilikuwa la nguvu. Kulaleki tuiteni Arsenal magoli ya nguvu Gunners from leo.
 
Namshukuru Mungu'tumeshinda! Hakika Arsenal ipo katika ubora wake. Pia nawapa pole mashabiki wa Liverpool kwa kipigo hiki...ila mechi yao ya kushinda haikuwa hii ya leo bali mechi yao ya kushinda ilikuwa ile ya nyumbani kwao dhidi ya Man U. Cheers kwa mashabiki wote wa Arsenal.
 
Hongereni Arsenal
Mlistahili ushindi
Mlikuwa bora dimbani zaidi yetu
Ndiyo soka tutarudi Melwood kuangalia wapi tulikwama tujirekebishe!

Mkuu pole sn rafiki yangu...napenda sn jinsi ulivyo na busara kwa kuelewa maana ya michezo...Mara nyingi hua tunataniana lkn dakika 90 ndio kila kitu.

Mtakua na pengo la Skrtel na Can ktk michezo yenu miwili ijayo.

Hilo la damu nzito kuliko maji nalijua sana ndio sababu nampa pole kaka yako ili usije kuninunia bure kwa kumkwaza kaka mpendwa 🙂🙂

Bora BAK umeliona hilo maana akikununia huyo utaomba ardhi ipasuke..

Kwa Mara ya kwanza historia inawekwa hapa jamvini kaka yangu amekubali matokeo, ubarikiwe sana na pole kwa yote ndo soka hilo.

Safi sn....kaka yako yuko pouwa sn anajua maana ya michezo haswaa.

Bigup sn Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana kukuona Mkuu Malafyale sikutegemea kama ungekuja hapa baada ya kichapo hiki cha leo. Hongera katika kuonyesha ukomavu mkubwa katika jukwaa hili.

Hongereni Arsenal
Mlistahili ushindi
Mlikuwa bora dimbani zaidi yetu
Ndiyo soka tutarudi Melwood kuangalia wapi tulikwama tujirekebishe!
 
Nimefurahi sana kukuona Mkuu Malafyale sikutegemea kama ungekuja hapa baada ya kichapo hiki cha leo. Hongera katika kuonyesha ukomavu mkubwa katika jukwaa hili.

BAK uko sahihi kabisa Malafyale yuko safi kabisa.....ebu nenda ktk jukwaa la LFC wote wamekimbia
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Arsenal wametupiga kihalali

Man U ni furumbu furumbu tu ilikuwa
Mkuu walikudischarge au ulitoroka hospitali without a doctor's release note ? Goli 4 plus red card ya mwishoni mwa mechi lazima vilikupeleka wodini. Angalieni red cards zinazidi kuongezeka, mtabakiwa na wachezaji 4 ktk mechi zilizosalia .
 
Back
Top Bottom