Msijidanganye kama mtayapiga Majogoo yakija Emirates week ijayo!
SG kawapa points 3 Man U lkn kwenu atashuka dimbani kijana Lucas Leiva
Mtashuhudia mechi maridadi mkizamishwa kwenu Emirates
Good News- Wodi ya wagonjwa sasa hivi ipo almost EMPTY . Diaby, Arteta, Debuchy, Wilshere, Gnabry wote wameshapona. Kina Malafyale mtarajie kupata kipigo cha mbwa mwizi jumamosi. Baada ya Kop wale #Mburukenge wa Manchester kina Nzi and company mkae mkao wa kula, tutakuja tena kuwapa kipigo nyumbani kwenu.
Utakula maneno yako!
Kama nilivyokula tulivyowabamiza old trafford juzi juzi, au sio?
RRONDO uteja wa kugongwa Old Trafford unakaribia kuisha. Angalia anga linavyoanza kuwa jeusi na moshi unavyoanza kufuka.
Msijidanganye kama mtayapiga Majogoo yakija Emirates week ijayo!
SG kawapa points 3 Man U lkn kwenu atashuka dimbani kijana Lucas Leiva
Mtashuhudia mechi maridadi mkizamishwa kwenu Emirates
RRONDO uteja wa kugongwa Old Trafford unakaribia kuisha. Angalia anga linavyoanza kuwa jeusi na moshi unavyoanza kufuka.
Kunguru kumnyea binadamu sio shabaha!!!
Mechi ya kwanza SG hakucheza eeh?
DonDonald chama lako " Three Lions" limegonga the Mighty Lithuania goli 4. Rooney anadai timu nyingine zijichunge..
Three Lions wanatisha sasa... leo tumetoka kumkimbiza Muitaliano kwao ...
Jumapili majogoo yanakuja kuchukua points zao hapo Emirates "Naona sasa hata nyie mnayaogopa Majogoo" Malafyale
Naona unatamba utakuja Old Traford kuja kuchukua points... Sio FA Cup hiyo mkuu
11 kwa 11 huwezi yafunga Majogoo popote pale duniani!Kila team sasa inayaogopa Majogoo yakiwa kamili
Emirates nakuja ku ku "Monacolize"tena
Mkuu nimerudi Dar leo kwa mapumziko ya pasaka,siendi Ikwiriri hadi pasaka ipite
Majogoo yatawika Emirates