Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inasikitisha kuona ni Alex Oxlade-Chamberlain atakosa mechi zote zilizosalia kutokana na matatizo ya misuli.
CCNvnBOUwAACyj4.jpg
 
Mkuu Richard vip hiyo taarifa imethibitshwa kuwa atakosa mechi zote zilizobaki??
Maaana dogo alikuwa amekaa katika peak nzur saana aisee.
Huwa habari za huyu Richard mara nyingi zinakuwa ni kweli kwani hakurupukagi, anapakua mpaka habari za ndani kabisa kabla ya kupost...!! Huenda We will miss the guy!!
 
Last edited by a moderator:
Huwa habari za huyu Richard mara nyingi zinakuwa ni kweli kwani hakurupukagi, anapakua mpaka habari za ndani kabisa kabla ya kupost...!! Huenda We will miss the guy!!

Yap Mkuu me mwenyewe huwa nazikubali hasa zile za tetesi za usajili habari za Richard huwa ni za uhakika.
#COYG .
 
Last edited by a moderator:
Huwa habari za huyu Richard mara nyingi zinakuwa ni kweli kwani hakurupukagi, anapakua mpaka habari za ndani kabisa kabla ya kupost...!! Huenda We will miss the guy!!


Nilicheck press conference jana, mzee Wenger kasema atakuwa nje kwa wiki mbili tena...
 
Last edited by a moderator:
Burnley vs Arsenal

Team News



Arsenal defender Laurent Koscielny (groin) and goalkeeper Wojciech Szczesny (rib) face fitness tests ahead of Saturday's Barclays Premier League match at Burnley.



Midfielders Jack Wilshere, Mikel Arteta and Abou Diaby are all back in contention following injury lay-offs, as is France defender Mathieu Debuchy. England midfielder Alex Oxlade-Chamberlain (groin) continues his rehabilitation.









.

..

Arsenal manager Arsene Wenger is focussing on narrowing the gap on Premier League leaders Chelsea with seven games to go

.

Burnley midfielder Matt Taylor could make his return from a seven-and-a-half month Achilles injury lay-off against Arsenal on Saturday.



Midfielder Dean Marney and defender Kevin Long (both cruciate ligament) remain on the long-term absentee list.



However, winger Ross Wallace (knee) and right-back Steven Reid (calf) could return for the Barclays Premier League contest.



Opta facts



Burnley have let in 10 goals in their last four matches against Arsenal in all competitions (average of 2.5 per game).



Arsenal have won each of their last seven Premier League games, the best current run in the division. No side has won eight in a row at any point this season.









.

..

Sean Dyche says Burnley will be up for the challenge of beating the sides around them in the Premier League

.

Arsenal have exactly the same record after 31 games as they did last season (W19 D6 L6).



Santi Cazorla should make his 100th Premier League appearance in this game, while Aaron Ramsey could clock up 150.



There have been fewer goals in the final 15 minutes at Turf Moor this season (3) than any other Premier League ground.
 
Back
Top Bottom