Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukapambane tu na EPL na FA wakuuu wa Gunners maana naona historia imekuwa si Rafiki kwetu kila mwaka tunatolewa Mechi ya kwanza na kukamilisha ratiba raundi ya pili.
yote kwa yote tukajiandae na New Castle.
#COYG .
 
pia naona bayern munich wameshuka kiwango,barcelona na real madrid unaona,sasa tuseme PSG atachukua?

Ni ngumu PSG kuchukua ila ukimtoa Barca, ni rahisi PSG kuwafunga timu zingine zilizobaki.
 
RM wachezaji wao wamerud, Barca wako vizuri mno kwa sasa, Bayern Munich hawatabiriki, PSG nao itategemea hatua inayofuata anakutana na nani.
Kwa mtazamo wangu bingwa ni kati ya hizi timu nne.

Madrid na Bayern wanaweza wakatolewa na PSG hususan Bayern endapo kama wakipangwa na PSG.
 
Wapenzi wa Arsenal lazima tukubali jambo moja,uwezo wa Mzee Wenger sasa umefikia kikomo! Hata mafanikio aliyoyapata huko nyuma ni kutokana na timu iliyojengwa na kocha aliyemtangulia yeye alifanya mabadiliko machache sana kwa kumuongeza Henry na Viera! Kupata mafanikio kama ya Sir Alex atahitaji miaka 40 kuijenga timu!
 
11081358_816528051775294_3088879756891294137_n.jpg

Grand PA
 
Wapenzi wa Arsenal lazima tukubali jambo moja,uwezo wa Mzee Wenger sasa umefikia kikomo! Hata mafanikio aliyoyapata huko nyuma ni kutokana na timu iliyojengwa na kocha aliyemtangulia yeye alifanya mabadiliko machache sana kwa kumuongeza Henry na Viera! Kupata mafanikio kama ya Sir Alex atahitaji miaka 40 kuijenga timu!

Na mbaya zaidi ni mjuzi wa kuuza cement nzuri kwa bei kubwa halafu anatafuta ya bei nafuu.
Ujenzi wa namna hiyo ni wa kulipualipua tu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ni ngumu PSG kuchukua ila ukimtoa Barca, ni rahisi PSG kuwafunga timu zingine zilizobaki.

Timu zilizo kwenye form sasa ni Bayern munich na barca. PSG ni underdog wa uhakika anaweza kumfunga yoyote na anaweza kufungwa na Yoyote! Real Madrid wana mgogoro wa ndani unaowatafuna mpaka kocha ameanza kulalamika hadharani. Hivyo kwa mtazamo wanao bidhaa ni Barca au Bayern.
 
Tungoje El Classico Jpil!!
 
Arsenal in UCL...
2011: Exit last 16
2012: Exit last 16
2013: Exit last 16
2014: Exit last 16
2015: Exit last 16

#Sweet16 

haa! hivi msimu uliopita walishindwa hata na man utd ya david moyes???!!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
It is all about soccer..tujipange kwamsimu ujao wana gunners

Kujipanga kwenyewe ni kupigania kuwa kwenye big 4 na siyo kugombea UBINGWA wa EPL! Na kushiriki champions league na siyo kugombea taji la champions league! Kwa Hilo tu, Wenger anaweza SANA!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom