Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mtu kaandika facebook eti Arsenal wamekufa kiume,wamekufa wakipigana na chupuchupu wasonge mbele

Ehehehehehehehe BAK pole sana mpwa,jifute machozi ujipange upya ndiyo soka ilivyo

Leo wamejitahidi bana tuwapongeze tu....ndo vile siku ya mnada ng'ombe hanenepi....Halafu nimekwambia punguza fujo tunaomboleza kidogo.....
 
Last edited by a moderator:
Mambo hayakukubali leo. Ndio mpira ulivyo. Nashangaa kuna watu wanashangilia wakati walikosa kuona UCL ikichezwa nyumbani kwao, wengine Malafyale, waliishia kudondoshwa Europa league afu wakatolewa baada ya kutia pua tu. Hata kama tunaishia last 16 kila mwaka ni poa, kuna siku utashangaa tunapenya hata nyie mliishia wa mwisho katika group miaka michache iliyopita.Tusubiri ligi iishe tuone mtakavyoishia nje ya UCL kwa mara ya pili mfululizo ndio mtakapotia adabu Nzi DonDonald, Belo #Mburukenge.
 
Duh!! Pole sana kwa msiba wa leo......
 
I hope you mean it....! muone kwanza!

Every single word....you had a great game Leo...Hapo ndipo tunapoona ukweli kuwa kwa mpira baada ya training and everything kuna kitu kinaitwa bahati...timu zetu za kibongo huwa tunaifuata kwa waganga na bado huwa hatuipati
 
Jaman hata huruma hamna?
Mnawanyeshea mvua ya maneno tu wakati wanamachungu!!!!
 
Hahahahaha huyo nilimnyima mke ndio maana anamalizia hasira kwangu.Ila niko nakisubiria kigodoro😀😀

Hahahahaha!!! Wachezaji maarufu wa vigodoro wamekimbia we ndo utaweza?? Ngoja niwaite wachezaji vigodoro maarufu wapi BAK na utafiti? BAK ndo mpiga picha maarufu wa vigodoro leo sijui nani ameshika sekta yake.....
 
Last edited by a moderator:
Every single word....you had a great game Leo...Hapo ndipo tunapoona ukweli kuwa kwa mpira baada ya training and everything kuna kitu kinaitwa bahati...timu zetu za kibongo huwa tunaifuata kwa waganga na bado huwa hatuipati

Wenzio Simba tunaipata siku hizi tukicheza na watani wetu Yanga....uchawi ndipo tunapouhitaji tu,kuleta heshima na utulivu mjini......hizo timu nyingine hata tukipigwa poa tu ila sio Yanga!
 
Hawa AM na Leverskuen wako 1-1 wameongezewa muda wa ziada ni dakika ya 117 bado 1-1 kuna uwezekano wa matuta kwenye hii game.
 
Back
Top Bottom