Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

vyovyote vile utakavyoongea ila Bayer kajitahidi sana kwa Atletico, sio kama huyu Arsenal.
walishinda nyumbani,wakabana ugenini wakafungwa,arsenal walifungwa 3 wakastruggle ugeneni wakapata mawili,usiwe na chuki na EPL
 
ATM wameshuka sana kiwango si kama wale wa msimu iliopita tena. Safari yao inaweza kuishia robo
pia naona bayern munich wameshuka kiwango,barcelona na real madrid unaona,sasa tuseme PSG atachukua?
 
pia naona bayern munich wameshuka kiwango,barcelona na real madrid unaona,sasa tuseme PSG atachukua?

RM wachezaji wao wamerud, Barca wako vizuri mno kwa sasa, Bayern Munich hawatabiriki, PSG nao itategemea hatua inayofuata anakutana na nani.
Kwa mtazamo wangu bingwa ni kati ya hizi timu nne.
 
Wapendwa mlale salama mliopatwa na msiba poleni sana take it easy....kuna watu humu wananipa hofu sijui usalama wao ukoje utafiti itika basi niwe na amani, BAK kipenzi changu umenuna mpaka nakuogopa take it easy beibiii bado kuna FA na EPL. 😉😉

kitwala nakuachia hiki kigodoro Hakikisha hamna fujo zinatokea hapa....
 
Last edited by a moderator:
RM wachezaji wao wamerud, Barca wako vizuri mno kwa sasa, Bayern Munich hawatabiriki, PSG nao itategemea hatua inayofuata anakutana na nani.
Kwa mtazamo wangu bingwa ni kati ya hizi timu nne.
kwangu bingwa ni ATM
 
Wapendwa mlale salama mliopatwa na msiba poleni sana take it easy....kuna watu humu wananipa hofu sijui usalama wao ukoje utafiti itika basi niwe na amani BAK kipenzi changu umenuna mpaka nakuogopa take it easy beibiii bado kuna FA na EPL. kitwala nakuachia hiki kigodoro Hakikisha hamna fujo zinatokea hapa....

Mimi leo nawasaidia watani kuomboleza. Wasikate tamaa ndo mpira ulivyo. Tuwaombee tu warudi kwenye ligi tuendelee kukimbizana.
 
Last edited by a moderator:
Namwamini diego simeoni,kumbuka real madrid ni wateja wa ATM,hizi mechi ugumu nanani anakutana na nani

Ni kweli kabisa na ndiyo maana nikasema mechi za robo zitatoa taswira halisi maana kuna timu zitakanyagana na zingine zitapata mseleleko.
Kuna timu kama
Porto
Borusia/Juve
Monaco
Hazitishi kiviiiile ila bahati tu imewaangukia. Sasa hawa wanaweza kuwa madaraja mazuri sana kwa baadhi ya timu. Japo ktk soccer lolote linaweza kutokea. Usiye mdhania ndiye akawa bingwa.
Yakajirudia yale ya 2004
Monaco na Porto kucheza fainali.
Hii ndo CL hakuna mnyonge
 
nahisi kila mtu anamtamani monaco
 
Kumbe mnasubiria kupenya?!? No wonder ni wazee wa #Sweet16

Unataka tujadili historia? Nitakuacha uchi arifu. Ni bora tujadili ya leo leo

Both , Both... huna jipya. Unajifariji kwa kukosa UCL msimu uliopita. Mwakani mtaikosa vile vile na kubakia kuangalia wengine wakicheza.
 
Back
Top Bottom