Wanaonifurahisha hapa lazima niwape likes, basi usiiweke hapa na kumpa heart attack Mkuu utafiti lol!
Nipo poa Mkuu, nawe ni aje Mkuu? Bado donge la jana halijaondoka Mkuu.
Mi ntaiweka......maana kule kwetu uliweka uliweka wale watoto wmevaa DDDDD. Nakutania mkuu siiweki bhana Usije Ukapotea humu.
Unasema wewe una EPL??? Teh teh teh kwani lile kombe anapewa anaemaliza nafasi ya saba??:sly::sly: hahah sijamuona Malafyale mzee wa uefa ndogo a.k.a kombe la watoto
Unajua sasahivi huwezi nielewa ila bado kidogo tu tutaheshimiana humu ndan... Lol
It is all about soccer..tujipange kwamsimu ujao wana gunners
Hahah dah cc #liverpool
Uwiiii!!!!!! Mamy utaua watu, kuna watu wamepotea toka jana hatujui wako wapi bado tunaendelea na msako wa polisi......
Nipo Mkuu bukheri wa afya bado natafakari matokeo ya jana ambayo tulikuwa na kila uwezo wa kufunga hata goli nne, ingekuwa ni furaha iliyoje. Nasubiri mchapo wa Barcelona na MAN C, nitafurahi kama BARCA watakuwa knocked out of the competition ila si kazi rahisi. Hii game ya leo sitakuwa nervous kama ile ya jana.
Hahahahaha!!!! We subiri utaona,we si umeshatoa ahadi Kule kwamba utawashangilia nakuonea huruma ujue,lol
ndio wanakipiga na rm pale kisimani camp nouKwa jinsi navyompenda Barca potelea mbali Man city wakafie mbali, halafu kwenye Laliga jumapil si wanacheza na RM? Au?
Hahah hapana nimeamua kua kati, naombea msifungane