Life will go on....!
Ha ha haaa!! Hao ni mashabiki mashaka...am sure hakuna mshabiki yeyote awe wa Man U au Chelsea ambae atapenda kuona Arsenal wanashinda hii game na kusonga mbele. Nasema hayupo zaidi ya.....tu
The goons wakiingia top four huchangii jukwaa la MANU msimu ujao....thats our bet...kama ulisahau nakukumbusha tena!!
​Tuna dakika 27 za kufunga goli mbili.
He he heee...wametukosa kosa hao daah. Mungu ahepushie mbali kabisa
Kwani ngapi ngapi mpaka sasa? Wengine tuko sudani ya kusini huku wajameni.
Monaco 0-1 Arsenal
Agg 3-2
Kwahiyo Arsenal akiongeza la pili anapita, sio?
Kwahiyo Arsenal akiongeza la pili anapita, sio?