Kwahiyo Arsenal akiongeza la pili anapita, sio?
Haipiti ndiyo..
20 minutes to go.
Hapana, atakuwa amefungwa goli nyingi nyumbani.
Ili apite anatakiwa kushinda 3 kwa 0.
Goooooool...I can't believe
Mtani upo ??? Jumapili vipi ni mim au wewe?
Malaika wa miujiza anahitajika haraka sana.....