Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtani mimi na wewe hatujafahamiana gulioni Katerero. Kiheshima zaidi tugawane point tu. Draw si mbaya kwetu sote. Mengine tutayajulia mbele kwa mbele. Au mtani unataka nikutoboe??

Unaonaje mimi ndo nikutoboe Hahahaha!!!! Mtani kama ulivyosema tuheshimiane kwa draw tu....
 
Sidhani...ila acha tuendelee kuomba Mungu wetu na siyo Mungu wa kushea na Monaco

ha ha ha ha ha ha.....leo tutajua aina za miungu....alilopanga huwa,pamoja na kuumia nitaendelea kuamini hivyo....laiti tungekuwa hivi kila siku
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom