Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahaha lol! Honey Faith na Michelle poleni kwa kutetemeka mie niko calm ile mbaya ila badala ya kuchezea kati wasogeze mpira golini kwa Monaco. Kuna goli nyingine mbili hapa au hata zaidi kama tutatulia na kuwa makini.

Hiyo ndio duwa na maombi ya mashabiki wote wa Arsenal...ila akili yangu inakataa eti tuwafunge Monaco goli 3 au 4 bila alafu wao wasipate hata goli moja!!? Nasema Noooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Welbeck yuko vizuri sana leo ukiacha makosa madogo madogo ya kutanguliza mipira mirefu
 
Hahahahaha lol! Honey Faith na Michelle poleni kwa kutetemeka mie niko calm ile mbaya ila badala ya kuchezea kati wasogeze mpira golini kwa Monaco. Kuna goli nyingine mbili hapa au hata zaidi kama tutatulia na kuwa makini.

Ni zaidi ya mbili bado tuna magoli matatu its a matter of time lets wait and see
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Waku mtanange ni mkali sana, Monaco wameamua kutetea magoli yao, half time tungoje tuone prof atatumia maarifa gani Game on. #COYG
 
Hahahahaha lol! Honey Faith na Michelle poleni kwa kutetemeka mie niko calm ile mbaya ila badala ya kuchezea kati wasogeze mpira golini kwa Monaco. Kuna goli nyingine mbili hapa au hata zaidi kama tutatulia na kuwa makini.

Heri yako BAK,nadhani watabadili mchezo sasa na kwenda mbele zaidi....tatizo hatujuagi wanashauriwa nini na makocha,sometimes tuko tunasema watoke kati kumbe wenyewe wana kimkakati chao washawajua Monaco na udhaifu/strength zao....katika siku naamini wamejipanga na Monaco wanataka tupite ni leo....we can do it!
 
Monaco wamekubaki tayari ni sisi tu, pale mbele wakitulia kidogo tu nafasi zipo nyingi
 
I know we're playing well but we need to speed up the game in order to create more opportunities. That was a clear penalty.

We just have to be more careful, speeding up the game might cost us coz Monaco are very dangerous on counters....!
 
Ni zaidi ya mbili bado tuna magoli matatu its a matter of time lets wait and see

Sidhani kama tunaweza kuwafunga hawa jamaa goli 3 au 4 alafu na wao wasipate hata goli moja...ndio maana nimesema tunaweza kuwafunga ila hatuwezi kusonga mbele kwenye mashindano haya.
 
It is not easy at all especially taking consideration that we're playing on their turf, but it can be done. Tukifunga goli la pili kabla ya dakika 60 hapo ndio nitaanza kuwa nervous kupita kiasi. Goli hili litawapa wachezaji motivation kubwa sana ya kuongeza goli moja au hata zaidi ili kujihakikishia kusonga mbele.

Hiyo ndio duwa na maombi ya mashabiki wote wa Arsenal...ila akili yangu inakataa eti tuwafunge Monaco goli 3 au 4 bila alafu wao wasipate hata goli moja!!? Nasema Noooo
 
​
_81719972_abc62f61-9549-4e44-8b01-2ffc33b4571b.jpg

OG baada ya kuweka chuma wavuni
 
Back
Top Bottom