Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo ndio duwa na maombi ya mashabiki wote wa Arsenal...ila akili yangu inakataa eti tuwafunge Monaco goli 3 au 4 bila alafu wao wasipate hata goli moja!!? Nasema Noooo

Mwenzangu leo tuna hadi mashabiki wa Chelsea na Man U wanatuombea na kutushangilia....nashindwa hata kufurahi,mimi mwenyewe najisemea tutafunga hayo mawili halafu watafunga moja na tumaliza wa nne
 
It is not easy at all especially taking consideration that we're playing on their turf, but it can be done. Tukifunga goli la pili kabla ya dakika 60 hapo ndio nitaanza kuwa nervous kupita kiasi. Goli hili litawapa wachezaji motivation kubwa sana ya kuongeza goli moja au hata zaidi ili kujihakikishia kusonga mbele.

Noted Mkuu'...anyway mpira dk 90 acha tusubiri na kuangalia hadi matokeo ya mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuspeed up the game haina maana timu nzima ihamie kwenye goli la adui. Bado ngome inatakiwa ikae imara kulinda goli.

We just have to be more careful, speeding up the game might cost us coz Monaco are very dangerous on counters....!
 
I know we're playing well but we need to speed up the game in order to create more opportunities. That was a clear penalty.
Replay inaonesha alexis amepandisha boot moja juu ya ingine kitu iliyofanya ionekane kana amelambwa mtama lakini refa ameona sahihi kabisa. Ni yellow sahihi.
 
Mwenzangu leo tuna hadi mashabiki wa Chelsea na Man U wanatuombea na kutushangilia....nashindwa hata kufurahi,mimi mwenyewe najisemea tutafunga hayo mawili halafu watafunga moja na tumaliza wa nne

Sorry to dissapoint you ma'am...Leo hamtoki
 
Mwenzangu leo tuna hadi mashabiki wa Chelsea na Man U wanatuombea na kutushangilia....nashindwa hata kufurahi,mimi mwenyewe najisemea tutafunga hayo mawili halafu watafunga moja na tumaliza wa nne

Ha ha haaa!! Hao ni mashabiki mashaka...am sure hakuna mshabiki yeyote awe wa Man U au Chelsea ambae atapenda kuona Arsenal wanashinda hii game na kusonga mbele. Nasema hayupo zaidi ya.....tu
 
Ila siyo siri...Arsenal leo wanacheza mpira mzuri sana na wakujituma sana. Kwa hili nina furaha sana no matter wakitutoa.
 
Back
Top Bottom