Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsene Wenger has provided the latest news regarding tomorrow night’s squad for the Champions League game against Monaco.

The squad is essentially the same one that was named for the West Ham, but Gabriel returns from injury to replace Chuba Akpom.

Tomas Rosicky, meanwhile, is not included due to illness although the Czech international was pictured in training this morning.

And while the Frenchman spoke about ‘giving everything’ to overturn the first leg, his counterpart, Leonardo Jardim, says his side will have to be strong against an Arsenal side with plenty of attacking power.

“When you are facing a such a team as Arsenal, with players like Welbeck, Özil and Cazorla – it is true we cannot take it easy,” he said.

“We must focus. We are only at half-time, but our opponent has strong and quality players within their squad, so it will be very difficult for us.”
 
zp_542014259_SM_1946_E7_23E885_2970.jpg


Mazoezi ya mwisho mwisho kabla ya kutimka na kwenda France CL .... .

zp_542014259_SM_1976_EB_23E87F_7613.jpg


zp_542014259_SM_2063_19_23E81E_1657.jpg


zp_542014259_SM_2133_0E_23E7F1_2957.jpg


zp_542014259_SM_2229_EF_23E7C1_2833.jpg


zp_542014259_SM_6578_D8_23E7B5_3205.jpg


zp_542014259_SM_6682_D2_23E79B_9937.jpg



zp_542014259_SM_6690_AE_23E798_2726.jpg



zp_542014259DP009_Arsenal_Trai_9484.jpg


Fingers crossed .... ...


zp_542014259DP025_Arsenal_Trai_1096.jpg



Bring them on ... .... .. #COYG.
 
KWA NINI ARSENAL ATAMFUNGA MONACO;
1; ARSENAL WAKO ONFIRE. arsenal hajapoteza mechi wala kutoa sare tangu 25 february 2015. ameshinda mechi zake zote nne alizocheza ikiwemo ya Man Utd ya kombe la FA.

2; Giroud hawezi kurudia makosa yale yale. 14 goals and 17 assist kwa striker hatari Oliver Giroud katika mashindano yote. Naamini kijana atahitaji kuonyesha kwamba game iliyopita ilikuwa bahati mbaya hivyo lazima atupie hiyo jumanne.

3. kiungo hatari ARON RAMSEY amerejea kutoka majeruhi na kiwango bora kabisa. Jambo hili litapelekea arsenal kukaba kwa nguvu na kufanya mashambulizi ya haraka mnoooo, jambo litalopelekea kupata ushindi mapema na kumaliza kidedea endapo mzee ataamua kumuamini Ramsey. hii ni kutokana itabidi amsogeze Cazorla juu kidogo na Ramsey kuchukua majukumu aliyokuwa anayafanya fundi Cazorla.

4. Record ya ARSENAL UCL; Mechi nyingi alizopoteza mzee first leg huwa apotezi second leg. rejea bayern Munich na Dortmund.
Kila la kheri goons.
 
Hivi, hata arsenal akishinda 2 bila si anafuzu kwa hatua nyingine....!
 
wapenzi wa man u na liverpool wanatakiwa waiombee dua arsenal ipite robo fainal ili kuweza kugombania nafasi ya nne.

Goons bana uwa mnapenda kujitekenya wenyewe bila ya kuwa na taarifa za uhakika.....

Sasa ona huyu anavyojiongelesha utafikiri yupo kwenye kijiwe cha kahawa....

Angalia hii link, halafu uje tena na pumba zako...

Member associations - UEFA rankings - Country coefficients ? UEFA.com

Nafasi za timu husika upimwa kwa kuangalia performance za timu kutoka kwenye nchi husika katika kipindi cha misimu 5 iliyopita....kwa uhakika kabisa, ukiangalia katika misimu 5 iliyopita timu za Uingereza zimekuwa zikifanya vizuri....hivyo hata kama zote zikitolewa hatua hii ya mtoano, nafasi zitabaki zilezile 4...

Ni timu za Hispania tu ndizo zimefanya vizuri kuliko za Uingereza katika miaka 5 iliyopita....zikifuatiwa na Ujerumani...Ufaransa wanaweza kuongezewa nafasi 1 pengine misimu miwili ijayo kama Monaco na PSG wakiendelea na kasi hii...
 
Hivi, hata arsenal akishinda 2 bila si anafuzu kwa hatua nyingine....!

2 bila hawezi kufuzu kwani Monaco aliwafunga goli 3 kwenu...hivyo ana magoli mengi ya kufunga...goal difference haiangaliwi kwa usawa huo...tayari wana advantage ya away goals....kupita Goons lazima mshinde 3 bila, ama 3-1, na kulazimisha ET a Penalties....
 
2 bila hawezi kufuzu kwani PSG aliwafunga goli 3 kwenu...hivyo ana magoli mengi ya kufunga...goal difference haiangaliwi kwa usawa huo...tayari wana advantage ya away goals....kupita Goons lazima mshinde 3 bila, ama 3-1, na kulazimisha ET a Penalties....

:what: PSG????
 
2 bila hawezi kufuzu kwani PSG aliwafunga goli 3 kwenu...hivyo ana magoli mengi ya kufunga...goal difference haiangaliwi kwa usawa huo...tayari wana advantage ya away goals....kupita Goons lazima mshinde 3 bila, ama 3-1, na kulazimisha ET a Penalties....

mkuu wewe utakuwa shabiki wa chelsea jinamizi la psg linakuandama. pole
 
utafiti BAK Mbu Eli79 mbona hampo humu? au mmekubali kutolewa na Monaco? Njooni wakuu bhana ktk uzi wenu tupige story kidogo.......Mi najua leo mtashinda lkn kusonga mbele itakua ngumu.

Nawakilisha:
 
Last edited by a moderator:
utafiti BAK Mbu Eli79 mbona hampo humu? au mmekubali kutolewa na Monaco? Njooni wakuu bhana ktk uzi wenu tupige story kidogo.......Mi najua leo mtashinda lkn kusonga mbele itakua ngumu.

Nawakilisha:
Kiongozi, sisi tuko cool tena hatuna wasiwasi. Game ya leo tunashinda na kusonga mbele. Tutakuwa wawakilishi pekee uingereza, tofauti na matarajio ya wengi wiki iliyopita...!
 
Teh teh teh teh, Wafaransa siku hizi wamekua hatari sn ktk timu zao....ngoja tuone mkuu lkn naona Eli79 km hakubaliani na wewe vile?
Ntuzu game ya leo ngumu, wala hamna anayebisha.
Ukiangalia record ya AS Monaco tangu waanze CL msimu huu, ni kama hatuna chance kabisa....wamefungwa magoli matatu tu katika mechi nyingi walizocheza. Sisi tumekunywa goli 11 hadi leo, nafasi ni ndogo sana lakini katika mpira hakuna linaloshindikana, ndio maana bado tunaamini
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh, Wafaransa siku hizi wamekua hatari sn ktk timu zao....ngoja tuone mkuu lkn naona Eli79 km hakubaliani na wewe vile?

Mkuu Ntuzu leo babu yetu asikosee kupanga kikosi tu, ila kukosekana kwa rosicky leo ni mbaya
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi, sisi tuko cool tena hatuna wasiwasi. Game ya leo tunashinda na kusonga mbele. Tutakuwa wawakilishi pekee uingereza, tofauti na matarajio ya wengi wiki iliyopita...!


Mkuu wiki iliyopita mimi mwenyewe sikuamini maana tulikua na kila kitu kuweza kusonga mbele.

Ila ktk kitu nimejifunza timu zikiwa away zinacheza mpira sn na kupata matokeo mazuri kuliko zikiwa home. Rejea Shlke 04 ilifungwa Germany na Madrid alikua bora Germany lkn Spain Shalke walikua wazuri zaidi kuliko Madrid. Monaco walikua wazuri kuliko Arsenal kwahiyo tunategemea leo Gunners watakua bomba kuliko Monaco. Chelsea walicheza vzr Paris na kutangulia kupata bao na kuwabana PSG ugenini lkn PSG walikuja darajani na kua bora zaidi kuliko Chelsea.
 
Back
Top Bottom