Dah, hili jukwaa leo limechangamka sana....haya sasa game limeanza.
Dah, hili jukwaa leo limechangamka sana....haya sasa game limeanza.
Yani leo natetemeka balaaa hata sijielewi......
Wewe acha tu dear ila mimi ujasiri unaongezeka.Yani leo natetemeka balaaa hata sijielewi......
Wee acha tu...ni kweli tutazijutiahawa arsenal wanachezea nafasi za wazi hizi watajuta baadaye
2 more to goals to go and still plenty of time, COYG.
Duh! Ramsey bench? Ila naona ozil angeanza bench na cazorla acheze 10 na ramsey aanze, ila poa tutashinda kwa vyovyote vile