utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
ARSENAL KUCHEZA ROBO FAINALI NA BARCELONA KATIKA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUMTOA MONACO KWA AGGREGATE YA 5-3..
Post yako ilitakiwa iishie hapo
ARSENAL KUCHEZA ROBO FAINALI NA BARCELONA KATIKA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUMTOA MONACO KWA AGGREGATE YA 5-3..
KWA NINI ARSENAL ATAMFUNGA MONACO;
1; ARSENAL WAKO ONFIRE. arsenal hajapoteza mechi wala kutoa sare tangu 25 february 2015. ameshinda mechi zake zote nne alizocheza ikiwemo ya Man Utd ya kombe la FA.
2; Giroud hawezi kurudia makosa yale yale. 14 goals and 17 assist kwa striker hatari Oliver Giroud katika mashindano yote. Naamini kijana atahitaji kuonyesha kwamba game iliyopita ilikuwa bahati mbaya hivyo lazima atupie hiyo jumanne.
3. kiungo hatari ARON RAMSEY amerejea kutoka majeruhi na kiwango bora kabisa. Jambo hili litapelekea arsenal kukaba kwa nguvu na kufanya mashambulizi ya haraka mnoooo, jambo litalopelekea kupata ushindi mapema na kumaliza kidedea endapo mzee ataamua kumuamini Ramsey. hii ni kutokana itabidi amsogeze Cazorla juu kidogo na Ramsey kuchukua majukumu aliyokuwa anayafanya fundi Cazorla.
4. Record ya ARSENAL UCL; Mechi nyingi alizopoteza mzee first leg huwa apotezi second leg. rejea bayern Munich na Dortmund.
Kila la kheri goons.
Hahahaaa, nipo sana mkuu na panapo majaaliwa nitaicheki game na kua nanyi pamoja hapa jukwaani.
Wako darini wamejificha lol.
Bado dakika chache safari ya Arsenal ianze rasmi.
Welbeck na giroud wanaanza? Mmh
Wapi Sizinga Mbu Ulimakafu Richard Rockcity native Wandugu Masanja rubaman Ng'wamapalala Piere. Fm na Eli79 muda ndio huu wakuu naona mmelala au mmeshatoka?