Menzako ikinyolewa ............. maji.Wapiga mishale is out
Kokoiko kokoiko is out.:nod::nod::smile-big:
Majogoo yamechinjwa huko Besiktas. Imekufikia habari hiyo? Unatafutwa kule jukwaani kuna msiba.
Menzako ikinyolewa ............. maji.Wapiga mishale is out
Tunaweza kuya overturn haya matokeo last season tulimpiga bayern 3_0 nyumbani kwake
Nadhani Arsenal wakupe mkataba baada Ya Wenger!
Asante kiongozi...
Lakini mbali na hayo, wanahitaji maandalizi ya kisaikolojia...! Mzee Wenger hupenda kusema "mental strength"...
Duh mkuu umesahau hao Asernal kama sikosei ilikuwa 2004/2005 walipigwa 3 bila na Inter walivyoenda kule Inter akapigwa 5-1.
1969 Mbali sana.
Hio ilikuwa makundi mkuu QF hakuna timu ishawah fanya huo muujiza.

mara nyingine huwa najiuliza kwanini mtu anatoa hitimisho kama hili bila kufanya kautafiti kidogo??!! kuna mwaka fulani nafikiri ni 2004[miaka 11 iliopita kama una miaka 25 sasa hivi ina maana ulikuwa na 14yrs] ac milan walishinda first leg 4-1 vs deportivo la coruna, carlo anchelotti akaonyesha alama ya kuchinja!!!! kilichotokea mechi ya marudiano hakuna alieamini ac milan walipigwa 4-0 na deportivo wakapita kwa aggregate 5-4......kwahio its possible na ishawahi kutokea.
Nadhani labda kapitiwa...maana mimi ndiye niliyeweka hiyo post kuhusu rekodi ya Ajax mwaka 1969 ya kupita hatua ya mtoano licha ya kuwa na 2 goals deficit katika mechi ya kwanza.
Rekodi hii hadi sasa haijavunjwa...yaani kwa timu iliyopigwa goli 2+ mechi ya kwanza, hakuna iliyowahi kusonga mbele katika hatua hii ya mtoano.,

Mkuu,umesoma nilichoandika? 2004 deportivo la coruna walifungwa 4-1 that's +3 na ac Milan first leg mechi ya marudiano ac Milan alipigwa 4-0! Sasa hio rekodi ya +2 haijavunjwa tu? Last ECL Chelsea walifungwa 3-1 na PSG hio nayo si +2 then marudiano wakashinda 2-0 na kupita.