Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hiyo ktk soka zile nguzo tatu zinapogeuka kipa, deflections na own goals unaziitaje, bahati nzuri au bahati mbaya?Maelezo yako ya kuhusu "mnarudi dk 45 blah blah blah" hayana mashiko. Matokeo yenu ya 99 na Buyern haikuwa bahati ile? mliokota dhahabu kariakoo!

Unachekesha wewe kama ni kuokota dhahabu kariakoo nyie mmeokota mara ngapi? Na kwa nini toka kombe lianze wanaopata hiyo bahati wanajirudia walewale mara nyingi? Ni kweli Arsenal haina bahati miaka yote au kiwango kidogo?
 
Heko. Wewe umezungumza kama mpenzi wa soka, na siyo mnazi wa Arsenal.

Defensively, Monaco wapo vizuri, stats zao kwenye UCL zinaonyesha.

Hakika Arsenal wakishinda Ufaransa nipigwe ban ya mwaka mzima
.
Na ahadi yangu ya kuhama Man United kama Arsenal wakichukua UCL, bado ipo palepale ��

Mhhhhhhhh!!!! hiki kiapo kibaya bana!!! ai mi nitalia kukukosa ujue?!!!............kwenye soka lolote laweza tokea ila itakuwa ngumu kama vile ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Arsenal Fan TV views.....
 
Last edited by a moderator:
:A S confused: :sad: :A S angry: :sick: :disapointed: 😡 :A S-cry: Yale makonde matatu toka Monaco bado yametulewesha..Hatariii...Ila ndio mpira..

COYG
 
It will be a miracle to come back to this game.....
Ozil was hiding.....No chance
Arsenal Fan TV
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo nalijua Mkuu ndio sababu nikasema "maji marefu" Monaco wanahitaji kupata sare tu ili kusonga mbele pia watakuwa kwao. Na siye tunahitaji goli 3-0 si kazi rahisi hasa ukitilia maananni performance yao ya jana na kama wataweza kuirudia the same performance au hata zaidi, lakini kama tutakuwa mbele 2-0 au 3-0 half time kitu ambacho kinawezekana kabisa basi lolote linaweza kutokea na kuushangaza Ulimwengu wa wapenda soka.

mkuu BAK watoto tayari wanaujua udhaifu wa aseno. hawawezi kukubali kufungwa nyumbani kwao, ila endelea kujipa matumaini feki lakini siku wakirudiana watoto hawatakubali kufungwa nyumbani kwao.
 
Unachekesha wewe kama ni kuokota dhahabu kariakoo nyie mmeokota mara ngapi? Na kwa nini toka kombe lianze wanaopata hiyo bahati wanajirudia walewale mara nyingi? Ni kweli Arsenal haina bahati miaka yote au kiwango kidogo?

Nilitolea tu mfano wa bahati ktk soka. Naona imekutachi.
 
It will be a miracle to come back to this game.....
Ozil was hiding.....No chance
Arsenal Fan TV


Kiukweli, mimi Ozil nimeshakata nae tamaa! Anahitaji mechi ngapi kuthibitisha uwezo wake? Na cha ajabu wenger anaona anafaa zaidi ya carlzora ktk no. 10 wakati santi ndo anaitendeaga haki hiyo nafasi.
Ozil sio big match player!
 
Last edited by a moderator:
Uzuri mzee wenger hana historia ya kupoteza game 2 Uefa.

Nafikiri hard drive yako haina GB za kutosha...mlifungwa 1-0 old Trafford Wenger akasema man utd watajutia nafasi walizopoteza mechi ya marudiano mkapewa 3-1 hio ni semi final ya eufa champions league!man utd as holders
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nafikiri hard drive yako haina GB za kutosha...mlifungwa 1-0 old Trafford Wenger akasema man utd watajutia nafasi walizopoteza mechi ya marudiano mkapewa 3-1 hio ni semi final ya eufa champions league!man utd as holders

Nafikiri alimaanisha na foreign team.
 
Claude Rant....!
Giroud might as well be in Madame Tossauds...lol
 
Last edited by a moderator:
Jukwaa letu limevamiwa na ma-haters. Furahini leo kwa kuwa mnaliona jua lakini kumbukeni Siku ya Arsenal ya kulipa kisasi ipo mbioni inawadia mtalia kwa kusaga meno lakini hatutawasikia
Nzi, Malafyale, DonDonald, Belo,tpaul,Pazi
 
In the wake of team-mate Jack Wilshere's smoking controversies, Arsenal's Olivier Giroud says every football team contains "four or five" smokers. (L'Equipe - in French)
 
Back
Top Bottom