truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
na ikuue tu...ulitumwa si uhamie The Blues upate raha?
The Blues???? Una maanisha Chelski au Birmingham??
na ikuue tu...ulitumwa si uhamie The Blues upate raha?
kwani wao majembe yao 5 yaliyokosekana kwenye mechi hii yatakuwa yamevunjika mipini? ni jembe gani mlilokosa ktk mechi hii? mbaazi ukikosa maua.......
Czeny mzima, na jana alikuwepo bench.
Kutawaliwa si kigezo cha kufanya mpira kuwa mchezo wa bahati, haiwezekani timu icheze dakika 45 iende mapumziko na kupata ushauri wa makocha then mnarudi dakika 45 tena unafungwa unasema ni bahati mbaya
Yale magoli hayakuwa ya kipa, ni ya wakabaji viungo na mabeki.
Magoli ya deflections au ya kujifunga, au nguzo zinapogeuka kipa inakuwaga ni bahati nzuri au mbaya? Au unaelezeaje hii kitu.
Ebu tulia kwanza, naona CHUKI pia ni UPOFU. Ni ile dozi ya Liberty stadium bado inaingia au, ebu kabla ya yote nieleze, katika post yangu ni wapi nimesema Arsenal ni european giant au Arsenal sio european giant?
Kwa hiyo ktk soka zile nguzo tatu zinapogeuka kipa, deflections na own goals unaziitaje, bahati nzuri au bahati mbaya?Maelezo yako ya kuhusu "mnarudi dk 45 blah blah blah" hayana mashiko. Matokeo yenu ya 99 na Buyern haikuwa bahati ile? mliokota dhahabu kariakoo!Kutawaliwa si kigezo cha kufanya mpira kuwa mchezo wa bahati, haiwezekani timu icheze dakika 45 iende mapumziko na kupata ushauri wa makocha then mnarudi dakika 45 tena unafungwa unasema ni bahati mbaya
Duh mkuu umesahau hao Asernal kama sikosei ilikuwa 2004/2005 walipigwa 3 bila na Inter walivyoenda kule Inter akapigwa 5-1.
1969 Mbali sana.
hahaha! na wanashika nafasi ya nne ili wacheze mechi za awali waingize fedha. usisahau kwamba wenga ni profesa wa uchumi na ni mmoja wa wakurugenzi wa aseno. money matters more than silvawares. hii ndio FALSAFA ya aseno tangu zamani. kila mwaka wanatengeneza FAIDA ya kumwaga.
na nyie leo mmeshindwa nini kuchomoa? leo watoto hawakuwa na wachezaji muhimu kiwanjani lakini wamekuvurugeni, je mkirudiana wakiwa kamili mtawafunga? mna ubavu wa kushinda 4-1 ufaransa? nimesema 4-1 kwa sababu msitarajie kwamba watoto watashindwa kupata goli nyumbani kwao.
Scenario zinafanana, Arsenal wanahitaji ku-overtun goli 3, tena away la sivyo safari!Chifu, naongelea mechi za mtoano, siyo za makundi.
daah jamaa walituadhibu na ilikuwa ni poor perfomance from the Gunners.
Monaco pia walikuwa vizuri katika deffence na kama kawaida Arsenal wanapocheza na timu yoyote kubwa wakitangulizwa wanapanda kushambulia na kusahaau nyuma na hapo ndipo unawapiga magoli ya counter attack.
Yote kwa yote hongera sana kwa Monaco.
Haters mmefurahi mpaka hamfikirii vizuri, pamoja na mdau kusema QF na sio group stage, ila scenario zinafanana, ni mechi ya away kwa Arsenal ambayo watatakiwa washinde si chini ya gepu ya goli 3 kuweza kuwa na chance ya kupita au kupita.
NziHeko. Wewe umezungumza kama mpenzi wa soka, na siyo mnazi wa Arsenal.
Defensively, Monaco wapo vizuri, stats zao kwenye UCL zinaonyesha.
Hakika Arsenal wakishinda Ufaransa nipigwe ban ya mwaka mzima
Na ahadi yangu ya kuhama Man United kama Arsenal wakichukua UCL, bado ipo palepale 
Scenario zinafanana, Arsenal wanahitaji ku-overtun goli 3, tena away la sivyo safari!