Watu mnabisha tu ama mmesoma post yangu ya kwanza kuongelea suala hili?
Nilisema Ajax FC ni timu ya mwisho kushikilia rekodi ya kufuzu hatua ya mtoano baada ya kuwa na 2+ goal deficit katika mechi ya kwanza kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Sasa nyiye hiyo mifano yenu inaonyesha timu zilizofungwa ugenini mechi ya kwanza na kuja kushindia nyumbani.
Arsenal kapigwa 2 goals deficit home...sasa anaenda away...ni Ajax FC tu mwaka 1969 ndiyo aliweza kusonga mbele baada ya kuwa na 2 goals deficit kwenye 1st leg home match...
Nimekuelewa...+2 goal deficit at home.
Mkuu inzi Huo mwiko utavunjwa na washika bundiki
Chifu, 2+ ina maana goli mbili na zaidi...goli 2 nazo zinahesabika...haina maana 2 goals deficit sijaiongelea...
Tutashinda, tutaweka rekodi mpya. Arsenal ni timu inayojulikana kwa kuvunja rekodi. Subiri uone.
Zaidi ya 'invincible' nitajie rekodi nyingine ya goons 
Timu ya kwanza toka England kushinda ndani ya Allianz(Bayern Munich home), San Siro (Vs A.C Milan/inter), vs Bernabeu(Real Madrid. Timu ya kwanza kubeba FA Cups nyingi than any other teams. Timu pekee ya top flight England ambayo haijawahi kushuka daraja nk.
The tofees piga hawa maneno mengi!