Timu ya kwanza toka England kushinda ndani ya Allianz(Bayern Munich home), San Siro (Vs A.C Milan/inter), vs Bernabeu(Real Madrid. Timu ya kwanza kubeba FA Cups nyingi than any other teams. Timu pekee ya top flight England ambayo haijawahi kushuka daraja nk.
Doh! Kweli Arsenal is a wee club...
Sasa hizo ndizo records za kujivunia mbele ya wanaume?!?
And check your facts re FA Cup titles, as it is tie between Goons and United, both have 11 titles.
Na unavyosema timu pekee ya top flight ambayo haijawahi kushuka daraja una maana? Daraja lipi? Unaongelea EPL? Daraja la Kwanza? Ama?
Sorry! FA cups. Corrections under Wenger tuna FA Cups nyingi tangu EPL ianzishwe. Top Flight means both EPL era na Daraja la kwanza. Kabla ya EPL kuanzishwa, ligi daraja la kwanza ilikuwa top flight. Arsenal haijawahi kushuka daraja in both
Check your facts again...goons walishawahi kuwa relegated...sema ni zamani kiasi kwamba unaona kama hawajawahi kuwa...ukicheki historia, mara ya mwisho kuwa relegated ni msimu wa 1912/13
Best Of Premiership News | English FA premiership News Fixtures Results Scores: WHICH FOOTBALL CLUB TEAM HAS NEVER BEEN RELEGATED IN TOP FLIGHT ENGLISH SOCCER
Hiyo ilikuwa ligi ya mchhangani. haihesabiki lol
Hii mechi itaisha draw. Sioni kama tutapata ushindi leo. Wachezaji wapo very nervous hasa tukiwa tunadefend.
Si ndiyo ilikuwa 'top flight' kipindi hicho ama? Division One ndiyo ilikuwa 'EPL' kwa wakati huo.
Ushindi kama kazi Mkuu leo, ila hali bado ni tete hivyo inaweka roho juu.
Division one ilianza kushamiri baada ya WW1. Afu Arsenal ilikuwa inaitwa Woolwich itakuwa hiyo ndo iliyoshuka daraja sio baada ya kuhamia North London na kuitwa Arsenal
Arsenal fans on WENGER:
in out in
out out
in \_ in
out out
in out in
😂😂😂😂😂
Lakini si ilikuwa ndiyo 'top flight' league kipindi hicho?!? Kubadili jina hukuifanyi kuwa siyo 'Arsenal'. Kama ndivyo kwanini inasemwa Arsenal ilianzishwa mwaka 1886?