MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Kama simba tu huku tz!! Ukizipenda sana hiz zinaweza kukupeleka kuzin bila kutarajia.
Unawazimu wewe
Kama simba tu huku tz!! Ukizipenda sana hiz zinaweza kukupeleka kuzin bila kutarajia.
Aisee...duh! 3-1 nyumbani ni fedheha kubwa sana.
Naona wacha 1 leo kajishindia kirahisiiii
Wenger anampenda sana Ozil, nimetambua tena hilo, na hampendi Carzola.
Hongera kwa AS Monako.
Nzi
Wenyeji wapo wapi kwenye jukwaa hili?
Kumbe hawa jamaa wanakuwa wapo active Utd akifungwa au akitoka sare
hahahaha! tis 2 late mate...tayari mmeishavurugwa. leo naona miti yote imeteleza.
Wenyeji wa jukwaa wameenda mazikoni.Nzi
Wenyeji wapo wapi kwenye jukwaa hili?
Kumbe hawa jamaa wanakuwa wapo active Utd akifungwa au akitoka sare
Defence yetu mgogoro hili siyo siri, maji marefu kwenye mchezo ujao but we're capable of beating them 3-0 provided that we play with sense of purpose and determination.
Tupo, mpira ndo ulivyo!
Haiya, na nyie jiachieni, toeni madukuduku yenu!
Hakuna cha Ozil wala Wenger...hii timu ina laana. Full stop. Khaa!!
Usimaind sana mpira ndio ulivyo...ila aibu..Safari yetu ya UCL ndio imeishia hapa. Hii timu ina laana kabisa.
Ni zaidi ya fedheha.
Kama timu tukajiangalie kwenye kioo tena.