Mkuu sisi tunatetea FA cup mwaka huu nyinyi mna kombe gani mnalotetea? kombe kongwe kuliko kombe lolote lile kwenye soka hapa duniani.
Lazima wapenzi wa Arsenal sasa wakubali kuwa hawana Coach, hata mafanikio wanayoringia nayo kama yale ya kumaliza msimu bila kufungwa, timu ile babu wenger hakuitengeneza yeye aliikuta, hususani ule ukuta ukiongozwa na Captain Tonny Adam ! Alichofanya yeye ni kuboresha kidogo kwa kumsajili Henry na Viera, coz up to now ameshindwa kutengeneza timu yake mwenyewe kwa zaidi ya miaka 15 ( linganisha na ferguson )
Lol sijatoa kisingizio wala sababu ya kufungwa. Tumefungwa fair and square sababu kubwa ni uzembe wa kipa wetu. Ndio tulichofungiwa. Hata hivyo huwezi kutozingatia idadi ya wachezaji tuliowawakosa leo. Kama wangekuwepo inawezekana mechi ikawa tofauti au la. hatutaweza kujua kama wachezaji hawa wangeweza kubadili sura ya mchezo au kutobadili, ndicho nachosema.
Wachezaji waliokosekana leo kwa ujumla, keyword UJUMLA ni hawa Welbeck, Ramsey, Arteta, Wilshere, Ozil, Gnabry, Ospina, Giroud(suspended), Sanogo, Podolski, Flamini, Diaby. Wengi wao ni maumivu/Majeruhi, wachache ni match fitness na suspensions. Idadi inasikitisha kwa kweli. Medical team yetu itakuwa imetoka chuo cha afya Muhimbili.
Mkuu kwenye EPL any team can beat anybody ndio EPL hiyo hakuna kibonde, Gunners mechi zilizobaki tutacheza vizuri ni OG tu ambaye ametibua mechi ya leo hatukuwa na mtu pale mbele. Prof kasema atanunua kama akipatikana mchezaji wa kujituma na ni nyota.
Poa endelea kujifariji!!!Mkuu sisi tunatetea FA cup mwaka huu nyinyi mna kombe gani mnalotetea? kombe kongwe kuliko kombe lolote lile kwenye soka hapa duniani.
Kamstrom atawafaa.
Aha!! Acha tu viwanja vya jana vilikuwa balaa stoke wametubana mbavu mpka mwisho. BTW Heri ya mwaka mpya mkuu.
Lazima wapenzi wa Arsenal sasa wakubali kuwa hawana Coach, hata mafanikio wanayoringia nayo kama yale ya kumaliza msimu bila kufungwa, timu ile babu wenger hakuitengeneza yeye aliikuta, hususani ule ukuta ukiongozwa na Captain Tonny Adam ! Alichofanya yeye ni kuboresha kidogo kwa kumsajili Henry na Viera, coz up to now ameshindwa kutengeneza timu yake mwenyewe kwa zaidi ya miaka 15 ( linganisha na ferguson )
Mulikua 12+ref= 13
Watoto wamenyimwa penalty smalling kuukumbatia mpira
Heri ya mwaka mpya mtani,