Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Lol sijatoa kisingizio wala sababu ya kufungwa. Tumefungwa fair and square sababu kubwa ni uzembe wa kipa wetu. Ndio tulichofungiwa. Hata hivyo huwezi kutozingatia idadi ya wachezaji tuliowawakosa leo. Kama wangekuwepo inawezekana mechi ikawa tofauti au la. hatutaweza kujua kama wachezaji hawa wangeweza kubadili sura ya mchezo au kutobadili, ndicho nachosema.
Wachezaji waliokosekana leo kwa ujumla, keyword UJUMLA ni hawa Welbeck, Ramsey, Arteta, Wilshere, Ozil, Gnabry, Ospina, Giroud(suspended), Sanogo, Podolski, Flamini, Diaby. Wengi wao ni maumivu/Majeruhi, wachache ni match fitness na suspensions. Idadi inasikitisha kwa kweli. Medical team yetu itakuwa imetoka chuo cha afya Muhimbili.
Ulisema kuwa..leo mmekosa wachezaji 12..sasa si ina maana wangekuwepo pengine mngeshinda ama? Hivyo ndivyo visingizio chifu..
United pamoja na backline ya kujikongonya, tunasonga mdogomdogo...hata siye tuna majeruhi ya key players (Di Maria, Valencia, Fellaini, Rojo, na Blind) hawa wote ni starters wakiwa fit..
Tatizo la goons hamtaki kukiri tatizo kuu la timu, A. Wenger. Jamaa kaishiwa, asipokuwa mjanja kama SAF, ataondoka na aibu.