Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asante sana mtani,nawe pia heri ya mwaka mpya, uwe na mwaka wenye mafanikio na baraka tele,jana ulianza poa ukaja maliza hovyo lakini si mbaya hata hiyo iko poa.
Na kwako pia mtani....

Ili mradi Chelsick alitandikwa mkono mmoja, ile hasira ya droo iliyeyuka kabisa. Naona hata wewe ulibaniwa mtani.
 
huu ndo msemo wa mwaka 2014

"wenger is specialist in failure"mourinho

Tuone huyo "mouthrinho" atamalizaje msimu. Mwezi ulopita mlisema atavunja rekodi ya "The invincibles" lakini hadi Leo keshanywea vikombe...!!
 
Tuone huyo "mouthrinho" atamalizaje msimu. Mwezi ulopita mlisema atavunja rekodi ya "The invincibles" lakini hadi Leo keshanywea vikombe...!!

Kashindwa vunja record na wachezaji wa dunia R.Madrid. ataweza na hao wachimba viazi.
 
Na kwako pia mtani....

Ili mradi Chelsick alitandikwa mkono mmoja, ile hasira ya droo iliyeyuka kabisa. Naona hata wewe ulibaniwa mtani.

Hahahahah!! Una utani na chelshit wewe!!, duh!! Vile vitoto acha tu vimetubania kweli kweli havitaki kufunua Kabisa ila nusura vitufunue.
 
Kila siku najipa moyo labda tutaimarika soon lakini wapi, my beloved arsenal why are you becoming a thorn on my foot?
 
245D60E500000578-0-image-a-96_1420211687633.jpg

Prof was lost in words .... Ospina on his way .....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli ndio soka, kipa jana sijui alikuwa kanywa usiku wake kusherehekea mwaka mpya maana dah!!!! goli zote mbili hazikustahili lakini ndiyo hivyo tumeshapwa.

Kweli BAK szczesny alikuwa bwax kabisa..
 
Yaani aliudhi sana jana, kama hauko fit si useme tu badala ya kuwa sababu ya timu kukosa ushindi au hata kutoa sare? Awekwe bench kwa kipindi kirefu ili atie akili kichwani.

Sasa hapo ndipo wengine tunapokuwa na wasiwasi na AW, usishangae vs Hull akacheza, eti "2 nd chance"! Tatizo boss wetu is a gentleman in the game which is vicious rough and result minded..Kazi ipo...
 
Nitamshangaa sana kama atamchezesha, lakini kama ulivyosema hili linawezekana kabisa maana hata yeye IMO kapewa 2nd chance for more than 10 years.

Anyway hatujuwi itakuaje, ila mpaka lini?! Vipigo vya hapa na pale tutakubakli, ila vingine kama jana, against Swansea Away, Saints Lg Cup, Stoke, Erverton away n.k. haiwezekani..
Philosophy yake, work on your strength, sasa hatujuwi kama huwa hata ana bother kuangalia video za wapinzani kabla ya game, maybe the game has passed him, najuwa WACHA na wengine wataona kama wengine tunalalamika sana, ila kwa kweli hebu tukae kwa makini na kufikiri, kila kitu kizuri kina mwanzo na mwisho, itabidi tu tukubali, maybe and maybe AWs time has come...tumechanganyikiwa kwa kweli
 
Back
Top Bottom