Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Taaratibu tunasonga mbele. Carlzora mechi chache zilizopita naona amerudi kwenye yule carlzora tuliyemtoa Malaga, safi kabisa. Alexis kama kawaida, The Ox anakimbiza watu na huyu dogo Couqlin jana kanikosha. Kwa ujumla wachezaji wote walikuwa poa jana. Hii timu inahitaji marekebisho kidogo ili tuwe serious title contender, na pia nimefurahi Babu kiasi fulani anabadili badili angalau ktk tactics. Jana tulikuwa physical kidogo. Kikawaida Le prof hata kama tunaongoza moja dk za majeruhi huwa ana-encourage open game, ila mechi ya Qpr na jana naona dk hizo akaweka wakabaji wengi. Tulikuwa defensive minded ila deadly on the counter attack. Big Sam amekuwa akimsumbua sana Le prof kwenye mechi za "rugby", ila kwa jana ali-match naye. Pia Wamshukuru Adrian la sivyo ingekuwa zahma kwao. Next, St. Marry's. Pagumu ila tutatoka tu maana hata Upton sio kwepesi ila tumetoka na pts 3 muhimu.
 
But mbona kila mwaka you guys are always title contenders sema huwa hamjui kumalizia league I mean huwa kila msimu you show a promising future but at the end of mnachoscore ni big 4 spot no offense but huo ndio ukweli..
Correct me if I am wrong sijaona jipya in term of mind set ya Prof kwamba this season anabeba ndoo..ila kama mshabiki wa kweli una haki na wajibu wa kuweka imani katika timu kubeba EPL..but I know deep in your heart you can't see that coming
One thing I can assure you top 4 is there for you to take it sema tu nyie wenyewe mzengue however hiyo place sio uhakika 100% maana mpira umebadirika may changes zitaanzia mwisho wa msimu huu pale ambapo Prof atafail kubeba EPL at the same time akamiss top 4 spot
 
Top 10 pics for 2014

gun__1413385701_Unknown-5.jpeg

A. Ramsey akiwa na FA cup .... ..

gun__1418311765_Emirates_stadium_10.jpg

Emirates Stadium ahead of Bayern Munich

gun__1419240773_DP1_140517PAFC.jpg

Aaron Ramsey celebrates his winner

gun__1418311783_Podolski_4_140517MAFC.jpg

Poldi celebrates winning the FA Cup

gun__1418311818_Ramsey_15_140517MAFC.jpg

Matchwinner Aaron Ramsey celebrates at Wembley

gun__1419240795_DP2_140518PAFC.jpg

The fans are out in force on parade day

gun__1418311835_Sanchez_5_140816MAFC.jpg

Alexis Sanchez prepares a free kick

gun__1419240813_DP3_140913PAFC.jpg

Joe Hart aliona maluelue tu ... ...

gun__1419240830_DP4_140913PAFC.jpg

Alexis celebrates his goal against Man City

gun__1419240846_DP5_141001PAFC.jpg

Danny Welbeck scores his third against Galatasaray

gun__1418311851_Walcott_goal_3_140101MAFC.jpg

Theo Walcott scores against Cardiff City

gun__1401456346_wenger_facup.jpg

The FA cup na ngao tukainyakua
Safi sana Gunners ... .... COYG

Next victim is Southampton. Let's climb the ladder while they are sleeping

Nilikuwa nakusalimia mkuu,gari letu limewaka nakukumbusha tu

Leicester City kwetu Anfield ehehehehehe

Msalimie sana Mbu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
tukishinda game ya alhamis na wale kunguni waendlee kutoa sare zao itakuw poa sana
 
Mkuu Sauthampton tuliwaachia carling cup, then tukawapiga kwenye EPL na sasa tunkwenda kuwabamiza hawatupi shida na chichi hatuna ugomvi nao wachezaji wengi tu tumenunua kutoka kwao , Theo, Ox, Chambers etc una kumbuka mlichema nini kwa West ham ambao walipanga timu dhaifu dhidi yenu? Kos is back, Ozil atakuwa bench .... jongea tu siku ya kitale. COYG

Heri ya mwaka mpya
 
Yale mapicha ya Wacha1 mbona cyaoni hapa? Au kwa kuwa jf haikuwa hewani.....mmepata cha ulimboka Leo. Heri ya mwaka mpya
 
Last edited by a moderator:
Bad first day of the year. Kulaleki tunahitaji zaidi ya beki na kiungo. Huyu Selfie taking kipa wetu huwa simwamini(sio leo tu) jamaa katu-cost sana, goli la kwanza kanikumbusha Almunia . Anyway, bado kuna mechi kibao tunaweza kurudi juu (Champions league) spots. Kikubwa tunatakiwa kurudisha wachezaji wetu wote walio majeruhi. Leo tuliokosa wachezaji 12 kitu ambacho nadhani hakuna timu yoyote iliyoweza kukipata msimu huu.
 
Ebu wataje hao wachezaji 12....ina maana mlikosa timu nzima?

Szczesny, Debuchy, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Coquelin, Chambers, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Rosicky, Alexis....hii ndiyo ilikuwa starting eleven ya leo...sasa katika hao 12, ina maana timu iliyocheza leo ni timu B ama C?!?

Goons kwa sababu siwawezi...anyway, hongereni kwa kuanza mwaka mpya na mambo mapya....
 
Lol sijatoa kisingizio wala sababu ya kufungwa. Tumefungwa fair and square sababu kubwa ni uzembe wa kipa wetu. Ndio tulichofungiwa. Hata hivyo huwezi kutozingatia idadi ya wachezaji tuliowawakosa leo. Kama wangekuwepo inawezekana mechi ikawa tofauti au la. hatutaweza kujua kama wachezaji hawa wangeweza kubadili sura ya mchezo au kutobadili, ndicho nachosema.
Wachezaji waliokosekana leo kwa ujumla, keyword UJUMLA ni hawa Welbeck, Ramsey, Arteta, Wilshere, Ozil, Gnabry, Ospina, Giroud(suspended), Sanogo, Podolski, Flamini, Diaby. Wengi wao ni maumivu/Majeruhi, wachache ni match fitness na suspensions. Idadi inasikitisha kwa kweli. Medical team yetu itakuwa imetoka chuo cha afya Muhimbili.
 
245CF44000000578-2893376-image-a-14_1420129329317.jpg

Wojciech Szczesny storms out of his goal to
confront Sadio Mane, before getting caught out
of position for the Saints' first goal
huyu dogo leo kazingua kweli.
 
Golikipa katuangusha leo, ndio mambo ya mwaka mpya hayo. Tutakomaa nao tu hadi May. Next stop Emirates kukwaana na Hull City kwenye kutetea FA cup. Nafikiri ni wakati mzuri kwa Ospina kuchukua namba moja sasa kwa muda hadi huyu M-polish aweke akili kichwani. OG alituangusha sana na ile red card maana pale mbele hakukuwa na mtu wa kukaaa na mpira. Atarudi baada ya FA cup. COYG
 
  • Thanks
Reactions: BAK
245CCB5700000578-2893376-image-a-12_1420127346565.jpg

Per Mertesacker stretches to try and hook Sadio
Mane's shot off the line but can only touch the
ball into his own net
 
Lol sijatoa kisingizio wala sababu ya kufungwa. Tumefungwa fair and square sababu kubwa ni uzembe wa kipa wetu. Ndio tulichofungiwa. Hata hivyo huwezi kutozingatia idadi ya wachezaji tuliowawakosa leo. Kama wangekuwepo inawezekana mechi ikawa tofauti au la. hatutaweza kujua kama wachezaji hawa wangeweza kubadili sura ya mchezo au kutobadili, ndicho nachosema.
Wachezaji waliokosekana leo kwa ujumla, keyword UJUMLA ni hawa Welbeck, Ramsey, Arteta, Wilshere, Ozil, Gnabry, Ospina, Giroud(suspended), Sanogo, Podolski, Flamini, Diaby. Wengi wao ni maumivu/Majeruhi, wachache ni match fitness na suspensions. Idadi inasikitisha kwa kweli. Medical team yetu itakuwa imetoka chuo cha afya Muhimbili.

Watu hawaamini kwamba tuna wachezaji kumi na mbili ambao watarudi kwenye first eleven soon .... .... .... .. .COYG
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom