Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Weka dau kiongozi....!!!

Goons wakiwa wa 4 katika EPL nasitisha kuwa shabiki wa Man United kwa msimu ujao (msimu mmoja tu)

Ila lile dau la kuhamia Arsenal kama ikishinda UCL lipo pale pale...
 
Hiyo haipo realistic coz ushabiki upo moyoni
 
Kwahiyo huo ushabiki wa moyoni unauona?!

Ushabiki unaweza kuwa kwa njia nyingi: kuwa na kadi ya uanachama; kununua merchandise za timu; kununua tiketi kwenye mechi za timu; kushiriki mijadala katika fora mbalimbali za timu n.k.

Sasa bet yangu ndiyo imegusia masuala hayo...na wala si ya moyoni kama unavyofikiri..

Kwa hiyo unasemaje?
 
Kwa hiyo utaacha kuchangia MANU, kwenda kutizama game uwanjani na hata kwenye luninga? If so twende kazi...!!
 
Goons wakiwa wa 4 katika EPL nasitisha kuwa shabiki wa Man United kwa msimu ujao (msimu mmoja tu)

Ila lile dau la kuhamia Arsenal kama ikishinda UCL lipo pale pale...

Ushabiki gani huu unaohamishika?
 
Uko nchi gani kwani? Ukiwa Tz naona kama itakuwa ngumu unless una wadau wa kukutumia mzigo wa Arsenal toka maduka halali ya kuuza bidhaa za arsenal na timu ikafaidika na hilo pato. Pia ushabiki huu utakuwa wa unafiki tu, weka kando!
 
Kwa hiyo utaacha kuchangia MANU, kwenda kutizama game uwanjani na hata kwenye luninga? If so twende kazi...!!

Ndiyo maana yake...

Twende kazi..

Sasa kazi kwako, what's your bet?
 
Uko nchi gani kwani? Ukiwa Tz naona kama itakuwa ngumu unless una wadau wa kukutumia mzigo wa Arsenal toka maduka halali ya kuuza bidhaa za arsenal na timu ikafaidika na hilo pato. Pia ushabiki huu utakuwa wa unafiki tu, weka kando!

Popote nilipo naweza kununua merchandise halali za Man United..

Katika bet hii, kama nikishindwa basi nitafanya hivyo kwa kununua merchandise halali za Arsenal...

Hii ni bet chifu...hivyo nikishindwa sina namna, hata kwa unafiki itabidi nitekeleze bet yangu...unafikiri wanaofanya bet za pesa wanaposhindwa na kutakiwa kulipa, ulipa kwa furaha?!?
 
Huyo Ospina ndo hamna kitu kabisa

Wivu wa kike khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Tupinge hapa...

Goons wakiwa wa 4 katika EPL nasitisha kuwa shabiki wa Man United kwa msimu ujao (msimu mmoja tu)

Ila lile dau la kuhamia Arsenal kama ikishinda UCL lipo pale pale...

Wacha uongo, wewe nenda kamdonyoe Viol naona ulimshika sana hadi akawa hakohoi.
Popote nilipo naweza kununua merchandise halali za Man United..

Katika bet hii, kama nikishindwa basi nitafanya hivyo kwa kununua merchandise halali za Arsenal...

Hii ni bet chifu...hivyo nikishindwa sina namna, hata kwa unafiki itabidi nitekeleze bet yangu...unafikiri wanaofanya bet za pesa wanaposhindwa na kutakiwa kulipa, ulipa kwa furaha?!?

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Manure bana kawashinda Glazers chacha wanakuja kuwanga humu .. .... ..
 
gun__1413385701_Unknown-5.jpeg

gun__1413791208_alexis_hull.jpg

"Of course it's important. We want another cup run and we want, if possible, to keep the trophy. We've won it five times in my period in charge so that means we know the importance that it has." -
Arsène Wenger

Wenye wivu wajinyonge. COYG
 
Baadhi ya individual players wanamuangushaga sana mzee wenger inayokuja ku cost na timu nzima..,,
 
Goons wakiwa wa 4 katika EPL nasitisha kuwa shabiki wa Man United kwa msimu ujao (msimu mmoja tu)

Ila lile dau la kuhamia Arsenal kama ikishinda UCL lipo pale pale...

Mkuu @Inzi anguko anguko au mwisho wa Wenger ni msimu huu mark my word..nakubaliana na wewe huyu mzee hana uwezo wa kuipa Arsenal top 4 spot..na hapo ndipo mashabiki na uongozi wa timu utokapo mfungia vilago..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ndiyo maana yake...

Twende kazi..

Sasa kazi kwako, what's your bet?

My bet?? I'll stop supporting arsenal kwa mwaka...hayo mengine siwezi bet coz hata hivyo sichangii chochote..!

Usije kubadili ID tu coz hata jf hutaruhusiwa kutoa comments.
 
Poa poa..tunza kumbukumbu hii.
 
Poa endelea kujifariji!!!

Mtu anayejifariji huwa hana hana kitu anakiwazia tu, yaani hana anachotetea kama timu yako, huko ndiko anajifariji. Gunners ni champions wa FA Cup 2014/15 sasa mtu mwenye akili zake timamu anaweza kusema ati tunajifariji. It shows how stupid some other peoples thinking is to say less. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu @Inzi anguko anguko au mwisho wa Wenger ni msimu huu mark my word..nakubaliana na wewe huyu mzee hana uwezo wa kuipa Arsenal top 4 spot..na hapo ndipo mashabiki na uongozi wa timu utokapo mfungia vilago..

Arsene-Wenger.jpg

Prof haendi kokote, hizo ni hadithi za Abunuwasi tu na Esopo, if you read those books anyway. The most successful manager of our generation, who revolutionized the England premier league. During his revolution he has won a Golden Premier League, I repeat Golden no any manager has won that golden glory. At the moment Le Prof has a contract with the best run club in England and he continues to guide the young players for more silverware this season.

COYG

BTW uliza hapa JF kwa nini uzi wa 'New era at the Emirates' ulizuiwa? Vidonge vyake vilikuwa bab-kubwa
 
245D6E9100000578-2893630-image-a-16_1420134339681.jpg

Wakuu naona jamaa uzalendo ulimshinda na presha inazdi kongozeka kwa le-profeseri.
 
Back
Top Bottom