mechi imeisha vibaya sana....Arsenal wamefungwa, Ghana wamefungwa....ngoja nimpigie my expected wife simu tuongee wee ili kupunguza machungu.........ya chelsea, sijui itakuwaje??????????????????????
Yeah, tunataka picha.....picha, picha, picha, picha Nani akiwatoka mabeki wawili (na wa tatu) wa Arse kabla ya "kufunga" goli la kwanza! Bwabwa1 weka picha hapa!
cha ajabu ni kwamba AW hana plan B ya kushinda mechi kila kitu kile kile miaka nenda rudi.
sol campbell ni sub ya varmelen na galas mbona anakusumbua akili hivyo? contract yake mpaka mwisho wa msimu kuna injury kumbuka.Get rid of the retarded manager plus the likes of Almunia, Sol Campbel (kwanza walichukua huyu wa nini???? cheap labour??), Denilson, Bendtner, Sylivester etc!
mkuu pole sana lol,naona hasira zako zimevuka mpaka sie tumejaribu kujizuia.
maneno yako ni ukweli mtupu lakini ARSENE WENGER hawezi kufukuzwa mpaka siku timu itakapouzwa.Board inajali stock zao na inaonesha kwamba Wenger ameweza kubalance timu kutokana na budget iliopo na hicho ndio wanachompendea hakuna kingine.
AW baada kuona budget haimrusu kuwa competetive na wakubwa wenzake akaona bora atumie style ya kuja na vijana kwani ni rahisi sana kumsamehe kwa kufika pale anapoifikisha timu.timu inafika sehemu nzuri lakini ndio utoto unawasumbua wako so relax na hawajui kulazimisha ushindi.
dont loose hope ni mapema mno ,tuangalie mbele sasa.
...Mechi ya Chelsea dawa ni kutoiangalia tu wala kubishana na hawa kina Masanilo na Peasant. Tutafungwa tu, tena mengi sana. Acha tu...inauma lakini ndio ukweli wenyewe.
Wenger kazi imemshinda
...Yaani Nani alivyowapita wale mabeki wawili dah, inauma kweli aisee, haki ya nani tena sina tena mapenzi na Arsene Wenger hata tukimaliza watatu msimu huu. It's all over...π
ndio maana nasema anafanya maksudi na anataka kuondoka Arsenal lakini board inamang'ang'ania kwa ajili yao binafsi na sio kwa ajili ya timu....ama? huyu huyu Arsene Wenger mwenye Β£30m mfukoni lakini anasema haoni wachezaji? kama sio ujinga nini? .!!!
mimi nitakuwakilisha mkuu mapema kwenye kuangalia game na chelsea ha ha ha....Mechi ya Chelsea dawa ni kutoiangalia tu
...Yaani Nani alivyowapita wale mabeki wawili dah, inauma kweli aisee, .π
ab tichaz akiweka picha humu nazichana ha ha ha.Nani took you to the cleaners single single-handedly! Weka picha, picha, picha, picha...plz!
kama unasafiri basi tunashinda hio mechi lol.Kama mliangalia mechi na AS, Ashley Young alimtesa sana Gael Clinchy! Leo Nani amerudia hicho hicho....nadhani huenda Fabregas hakuwa kwenye form! Mechi ya Arsenal pale SB sitaangalia bahati mbaya nasafiri najua Peasant na wenzake watawanikilisha! Itabidi mcheze vizuri Malouda atamtesa sana Clinchy na Gallas na Drogba.....Mhhhhhh Anelka na Sol Campbell teh teh teh teh
Nitakuwa ndani ya Daraja (SB) chief, lakini nitacomment bahada ya mechi, Inshallah.Kama mliangalia mechi na AS, Ashley Young alimtesa sana Gael Clinchy! Leo Nani amerudia hicho hicho....nadhani huenda Fabregas hakuwa kwenye form! Mechi ya Arsenal pale SB sitaangalia bahati mbaya nasafiri najua Peasant na wenzake watawanikilisha! Itabidi mcheze vizuri Malouda atamtesa sana Clinchy na Gallas na Drogba.....Mhhhhhh Anelka na Sol Campbell teh teh teh teh
mimi nataka twende dakika kwa dakika kama leo humu.hakuna mambo ya baada mechi mkuu.Nitakuwa ndani ya Daraja (SB) chief, lakini nitacomment bahada ya mechi, Inshallah.
Tatizo ni kwamba nitakuwa uwanjani, si unajua tena mambo ya unazi.mimi nataka twende dakika kwa dakika kama leo humu.hakuna mambo ya baada mechi mkuu.
hapo nimekuelewa sasa.Tatizo ni kwamba nitakuwa uwanjani, si unajua tena mambo ya unazi.
ushindi kesho hupo mkuu bila wasi wasi na ni mkubwa tu hata kama varmelen hayupo.
Usikimbie tu kesho π tutakapokuwa tumeamua kuwasha indicator rasmi kwamba sasa tunaondoka zetu.
Arsenal 2 Man Utd 1(wafungaji Nasri,Fabregas/Rosicky kwa Arsenal,Rooney kwa Manure) matokeo haya yatakuwa endapo Thomas Vermaelen atacheza(kama S.Campbell ataanzia benchi)πππππ
Bado kama dakika 50 ili shughuli ya kuwanyanyasa MANU 3-2 ianze rasmi. Ushindi leo ni lazima wana GUNNERS wenzangu.