Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
......mie na mashaka mkewe ni shabiki wa Man United jamani, hii hali haikubaliki. :coffee:
hahahahaha.....hamna mdudu mbu......ni hivi
- Yuko too relaxed hana presha from above ujue amei transform Arsenal sana huwezi linganisha wakati anakuja Arsenal mwaka 1996 haikuwa hivi
- pili ni unsackable maana hakuna wa kumnyooshea kidole katika Entire boadroom....no wonder wanajiuliza what will happen life after he goes
- CEO Ivan gazidis alikuwa proposed by Arsene wenger kwa stan Kroenke can you imagine.....Ivan hana kauli mbele ya Arsene
- Inasemekana Bould kama Former defender na vice manager ame propose some few names za defenders na DM ila wenger hakuona umuhimu wa kununua....so 6 DEFENDERS for entire season ni SUICIDAL and pathetic
haijawahi kutokea "WENGER OUT'' kuwa so loud and trending in social media kama sasa.....na BVB wakituweka i cannot imagine the pressure on old deluded man......
TACTICAL BANKRUPTCY, TACTICAL UNAWARE....TOO STUBBORN to fill holes in the Squad during transfers.....
he has to pack things and follow Alex ferguson.....au waanze kumbebea BANNERS za wenger OUT pale emirates.....