na ninavowajua uefa k
last 16 laxima watatupanga na Barca au Bayern 😔😔😔😔😔
......phewww! Alhamdulillah, gari letu la mkaa limevuka salama :coffee:
walau kesho naweza kuingia ifisini kifua mbele...usiku mwema wadau