Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nzi,
Hongera kwa kushinda leo siku hizi muda wangu ni mchache hata gemu ya leo nimeiona hivi dakika chache zilizopita,
Sikujua kama Manu na wao wanapaki basi, nilifikiri hii formation haihusiani na nyinyi
Hongera

Kwa hali ya majeruhi tuliyo nayo, counter attacking was the only game plan....and we mastered it!

Sasa hivi huwezi kujiuliza inakuwaje unafungwa na timu iliyokuwa inapaki basi? Jibu ni kuwa, hiyo ni ishara wa ubovu na ukosefu wa game plan. Goons wana game plan moja tu kwa kila mechi, dhidi ya kila timu, na kila mashindano. Hilo tatizo la Wenger, hawezi kubadili tactics kutokana na mazingira ya mechi husika. Kwa hili, ataendelea kuwa specialist in failure.
 
Hahahahahaha lol!!! Naona leo mnachonga sana
boink.gif
haya chongeni tu ila mjue msimu huu bado mchanga kuna safari ndefu kati ya sasa na May, 2015.


Mafuriko yameshawabeba
 
mpira mzuri but hamna magoli wenga anafundsha kucheza sio kufunga magoli
 
Mafuriko yameshawabeba
Arsenal have confirmed that a fan was arrested after throwing an object towards Manchester United's bench after the visitors' opening goal at Emirates Stadium on Saturday.
 
Arsenal have confirmed that a fan was arrested after throwing an object towards Manchester United's bench after the visitors' opening goal at Emirates Stadium on Saturday.

sasa kama wachezaji uwanjani walianza kupiga watu vichwa na ngumi unategemea washabiki watafanyaje??!! usifanye mchezo KUFUNGWA NA WORST MAN UTD SIDE EVER....INAUMA SANA
 
[h=5]Edo Kumwembe-
....1-2......Hehehehe na kuna siku Manchester watapanga mawe 11 uwanjani na kuifunga Arsenal... Nani anabisha? Wenger katika ubora wake....[/h]


 
Wenger CV yake ya vipigo inakuwa kwa kasi kweli ukilinganisha na za makocha wakubwa ulaya. It won't get any worse! Ningekuwa nina uwezo, ningemshauri astaafu kulinda heshima yake. Apewe timu Dennis Bergkamp kama kocha mkuu na msaidizi aachwe Bould au aje Adams. Basi!! Yeye le Prof. Angepanda ngazi. I still love my Arsenal to death, no matter what!
 
......mie na mashaka mkewe ni shabiki wa Man United jamani, hii hali haikubaliki. :coffee:
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom