Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manure bana yaani wao mpira wa kubahatisha wiki nzima watasimulia aibu! Wenzenu chacha tupo kwenye mambo ya CL nyinyi bado mnafikiri matokeo ya EPL baada ya kupata zawadi kutoka kwa kuwadi wenu wa brown envelopes ... ... ... ..get life!

vumilia tu tunajua kufungwa na WORST MAN UTD SIDE EVER INAUMA....INAUMA SAAAANA KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE..................
 
Weweeeee mpira sio mchezo wa kubahatisha kheeeeeeeeeeeeeeeeeee. Haiwezekani mchezo uchezwe dakika 45 watu wapumzike warudi tena dakika 45 ufungwe alafu useme wamebahatisha. Ingekuwa timu ikifungwa tu mpira unaisha hapohapo sawa

unacheza na timu mara 15, unashinda mara moja tu halafu unasema hio timu inabahatisha???!!!! KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE KHE...........
 
kwa kweli mimi nimeshajikubalia kuwa msimu wa epl kwa arsenal umeshaisha na naanza kuamini kuwa mpka wenger atakapoa amua kuondoka ndo labda unafuu utaonekana
 
Hatuangalii kuendelea au kutokuendelea, uhakika sisi tunasonga mbele, kwasasa macho yetu ni kumaliza hatua hii tukishika nafasi ya kwanza kwenye kundi letu....
 
1417033052159.jpg
 
Hatuangalii kuendelea au kutokuendelea, uhakika sisi tunasonga mbele, kwasasa macho yetu ni kumaliza hatua hii tukishika nafasi ya kwanza kwenye kundi letu....

pacha una moyo kama king martin luther
 
Pacha kama kuna wachezaji wa man u hapo wambie waende kusaidia dortmund, yaani kama tunafanya mazoezi tu...

Hahhaa man u prondo mi Chelsea,btw man u now wazuri kuliko nye sema mnasumbuliwa na uzalendo
 
Last edited by a moderator:
Hahhaa man u prondo mi Chelsea,btw man u now wazuri kuliko nye sema mnasumbuliwa na uzalendo

Pacha tuache ushabiki ila hawa jamaa wa arsenal wako vizuri sana aisee...
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni kuwa je tunaweza kulinda ushindi tangu tuongoze tatu bila halafu zikarudi zote tatu....moyo wangu umeingia ganzi
 
Back
Top Bottom