Kuwa manager haimaanishi timu haifungwi...ila tizama hizi facts ndugu
- tumecheza against manure mechi 12 katika different cups tumeshinda game mbili tu....this is not a coincidence its a plain FACT kuwa manure KNOWS to beat ARENE'S TEAM
- Against jose mourinho wenger hata afanyaje hatokaa amfunge yule....kwani game plan yake ni keeping possesion with pace in wings Chelsea wao watacheza DEEP na kuhit kwa Counter hii hata mtu hasiyejua mpira analiona...
- Last season FA cup tulibahatika kupata Easy run baada ya timu kama Man city na chelsea kutoka otherwise tusingechukua....fikiria hata jinsi timu kama arsenal kwenye FA CUP final kujikuta 2-0 down baada ya dakika 10 na timu kama HULL CITY?? huu ni upuuzi ingekuwa na timu ngumu siku ile kombe tungelisikia tu
Binafsi mimi nimeanza kutizama mpira kitambo sana toka enzi za George Graham kisha bruce rioch kisha akaja WENGER ana mazuri yake meeengi sana huyu babu na mimi ni shabiki wake mkubwa ila recently mambo yamemgomea especially
MODERN GAME ambayo inataka TACTICAL DYNAMISM kama anavyofanya Simeone,Pep, Mou na hata Klopp na Ancelloti sio kukariri mbinu moja kila siku
YOU CANNOT TEACH AN OLD DOG TO HUNT...wenger sasa ni old dog hana mawazo mbadala kwa sasa Approach yake dhidi ya Crstal palace itakuwa the same na BVB the same na West ham na vile vile na MANURE.....
Damnnnnnnn........arsene wenger
pesa ipo na sasa HANA TENA EXCUSES yule mzee....he will not change anything so far zaidi ataharibu LEGACY yake tu ajiondokee kwa salama yake tu....
BVB waje tu watupige jumatano in UCL frankly i want to see the old man suffers and leave for good.....