Hongera kwa Man United woooooooote.....
Hands down, huyu mzee wetu kiukweli mbinu zimemuishia.
Hata Peugeot 403 enzi zake ilishiriki
east african safari rally,.....
:coffee:
Pamoja sana Ntuzu ila kwa hii pole iliyochelewa bila shaka ulikua umejichimbia hutaki kushuhudia mechi kwavile huiamini timu yako kwasasa
Mmekenua leo kwa sana, hongereni.
Namashaka...kama...ulikuwa...unangalia....mpira...au...ulisinzia...aliyemumiza...kipa...ni...nan...kama...co...waligongana...wenyew...kwa...wenyew.....Fellaini...hata...hakumgusa...kipa...Duuh tumefungwa but ni ukweli ulio wazi kuwa Dean kagawa goli la kwanza ambalo ndilo lililoitoa Arsenal mchezoni kwanza kuna jamaa alikuwa kazidi pili kipa aliumizwa but refa akaendeleza mpira.
But all in all ts part of the Game na Wenger pamoja na benchi lake la Ufundi wana Kazi ya Ziada.
Matokeo ya leo siamini kabisa
Utaelewa tu ndugu na utakua wa kwanza kubeba bango la WENGER OUT
Prof haendi popote mtalia sana ... .... ..... .. .. wenzenu tayari tunajiandaa kwa mtanange wa J5
SPEAKING BOLDLY KAMA FORMER "AKB" a.k.a Arsene knows best
WENGER HAS LOST IT......
TACTICAL CLUELESS, Same game plan for past 12 games against MANURE with a single WIN?? huu upuuzi akwendreeee
HE WILL NEVER BEAT MOU i hate to admit it ukuatae ukubali
HE WILL SPOIL HIS LEGACY HIMSELF
MOU was right Arsene has got easiest job in FOOTBALL
hiki kibabu hata KIFE TU she!@***&%y Taipu
DORTMUND will come to finnish us and put a nail in arsene's coffin, mpira husion na plan B kiroho safi AKWENDREEEEEEEEEEEEE