Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Attachments

  • IMG_20141122_230114.jpg
    IMG_20141122_230114.jpg
    15.4 KB · Views: 141
Unaijua EPL kaka? Waulize L'pool nini kilichotokea mwaka jana baada ya kudhani ubingwa ni wao halafu wakapokonywa tonge mdomoni dakika za mwisho. Kilichotokea kwa L'pool msimu uliopita kinaweza kutokea kwa timu yeyote ile. Usitishike na gap kubwa iliyokuwepo bado safari ni ndefu sana, katika mechi 38 ambazo kila timu inatakiwa icheze ndio kwanza zimechezwa mechi 12 tu na hivyo bado kuna mechi 26 kwa kila timu hadi May 2015.

Kinyang'anyiro cha ubingwa? Unaongea unatania?
 
Mie ndio naandaa ugali wangu hapa na mchicha na kauzu, watamu hao!!! Karibu huku Mkuu labda dagaa watakuongezea appetite yako lol!!!!

Hahah usijali nishafika....natakiwa nisahau kipigo ili niweze kula....
 
Unaijua EPL kaka? Waulize L'pool nini kilichotokea mwaka jana baada ya kudhani ubingwa ni wao halafu wakapokonywa tonge mdomoni dakika za mwisho. Kilichotokea kwa L'pool msimu uliopita kinaweza kutokea kwa timu yeyote ile. Usitishike na gap kubwa iliyokuwepo bado safari ni ndefu sana, katika mechi 38 ambazo kila timu inatakiwa icheze ndio kwanza zimechezwa mechi 12 tu na hivyo bado kuna mechi 26 kwa kila timu hadi May 2015.

Ni kweli mkuu mziki wa BPL sio wa kuuongelea ongelea ndio maana makocha wenyewe wapo kimya
 
Mie ndio naandaa ugali wangu hapa na mchicha na kauzu, watamu hao!!! Karibu huku Mkuu labda dagaa watakuongezea appetite yako lol!!!!

Asante mkuu BAK me ugali napendaga na mtindi, kama upo nakuja
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
....Huu ndo ushindi wa kwanza wa Manu away kwa msimu huu, nyumbani kwa Arsenal. That speaks volumes..!
 
Ni kweli mkuu mziki wa BPL sio wa kuuongelea ongelea ndio maana makocha wenyewe wapo kimya

Ni kweli, ila ukweli ni kwamba Chelsea wapoteze mechi 5, Arsenal washinde mechi 5 ili angalau kuwakuta Chelsea kwa sasa, wasidroo, na pia kina Mancity na Manu wapoteze, Arsenal tunashinda tuu!!!! Inawezekana ila kiukweli ni ngumu sana. Kwa mwendo huu, NATHUBUTU kusema, hatupo kwenye kinyang'anyiro, tupo kugombea nafasi ya 3 au ya 4. Tuwe wakweli jamani, najua tunajipa moyo watu wa Arsenal.
 
Duuh tumefungwa but ni ukweli ulio wazi kuwa Dean kagawa goli la kwanza ambalo ndilo lililoitoa Arsenal mchezoni kwanza kuna jamaa alikuwa kazidi pili kipa aliumizwa but refa akaendeleza mpira.
But all in all ts part of the Game na Wenger pamoja na benchi lake la Ufundi wana Kazi ya Ziada.
 
zilipendwa hizo

2-1 at emirates nazo ni zilipendwa....bad una la kuongea??? usifananishe usingizi na kifo, man utd ni man utd na arsenal ni arsenal kashindaneni na tottenham....
 
Duuh tumefungwa but ni ukweli ulio wazi kuwa Dean kagawa goli la kwanza ambalo ndilo lililoitoa Arsenal mchezoni kwanza kuna jamaa alikuwa kazidi pili kipa aliumizwa but refa akaendeleza mpira.
But all in all ts part of the Game na Wenger pamoja na benchi lake la Ufundi wana Kazi ya Ziada.

masikini we....hamkosi visingizio...vipi magoli ya wazi mliyokosa kipindi cha kwanza? mngefunga yale wala hilo goli lisingekuwa issue...mna mental block against man utd...u cant beat them hata wawe wachovu vipi...mabeki wa leo ni blackett,mcnair,smalling lakini hamna kitu mmeweza kufanya... #WatejaWetu
 
...dont know what to do khe khe khe khe khe khe khek kehe

f43c27e3-280e-474b-9a20-4c78f7f445a1-620x413.jpeg
 
....come on...give us a game! khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe

d055602c-0eed-4489-b1c1-b03ffa388f1d-620x372.jpeg
 
Duuh tumefungwa but ni ukweli ulio wazi kuwa Dean kagawa goli la kwanza ambalo ndilo lililoitoa Arsenal mchezoni kwanza kuna jamaa alikuwa kazidi pili kipa aliumizwa but refa akaendeleza mpira.
But all in all ts part of the Game na Wenger pamoja na benchi lake la Ufundi wana Kazi ya Ziada.

Tumekosa nafasi kadhaa za kufunga. Ni sisi tujilaumu, makosa ya refa yapo. Siku nyingine unapendelewa siku nyingine unaonewa. Kipa wetu aliumizana na mchezaji wetu, No foul hapo. Issue ni bench la ufundi.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom