Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilijua utakuja tu si mmeshinda lol! hahahahaha tungewachapa ungesepa kimya kimya hata salam za kuaga, kukusikia tena baada ya wiki 🙂🙂

Nimekuja.....poleni sana wapendwa ndo mpira huo
 
Kuna jamaa nilimwambia atakua wa kwanza kusema "WENGER OUT" cjui hakunielewa naona umu yameshaanza maneno kuwa watu wamemchoka wenger
 
Matokeo ya leo siamini kabisa
 
Attachments

  • 1416685722556.jpg
    1416685722556.jpg
    37.4 KB · Views: 323
Nilijua utakuja tu si mmeshinda lol! hahahahaha tungewachapa ungesepa kimya kimya hata salam za kuaga, kukusikia tena baada ya wiki 🙂🙂

Hahahahaha!! Ningekuja tu si ungekuwa umeniwowa....haya wangu mimi ndo nichukue changu au....lol
 
Wale wote walionisoma post No 38144 kwenye uzi huu na unakubaliana na kitu ambacho nilikisema nakuomba au nawaombeni munigongee like kama ishara ya kukubali kitu ambacho nilikitabiri.

Kwa ufupi nilisema hivi...mimi ni mshabiki na mpenzi mkubwa sana wa Arsenal ila leo ni lazima Man U watatufunga tena kwani Arsenal kwa Man U ni kama mbwa kamuona chatu. Imeniuma sana...lakini nilichotabiri ndicho kilichotokea.

Kama ulinisoma kwenye post hiyo No38144 naomba unigongee like kama ishara ya kukubali kile nilichosema.

Cc BAK

Nilisoma, kula 'LIKE', ila Arsenal hii sio kwa Manu tu, ni kwa timu kubwa zote kuzifunga ni shughuli. Timu pekee 'kubwa' tuliyoifunga hivi karibuni ni Liverpool msimu uliopita. Hivyo ishu si kuwa wateja tu kwa Manu ila kwa timu kubwa zote. Mimi binafsi nimeshakubali kuwa Arsenal ya Wenger ishafika mwisho. Na kiukweli, kufungwa leo yaani niko POA, wala haijaniuma, kichwa changu kilikuwa kinategemea yaliyotokea ingawa nilijaribu tu kujipa moyo. Hongera kwa Manu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MillionHairs mie nilikwambia ulichoandika ni kweli tupu. Kama umeangalia mpira wote umeona jinsi tulivyoshambulia katika game ambayo tulistahili kushinda kwa kila namna stats za mchezo nadhani umeziona, lakini ndiyo hivyo tena mbwa akina chatu. Inauma sana Mkuu. Inabidi tushinde game zote zilizobaki kati ya sasa na mwaka mpya ili kurudi kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa vinginevyo itakuwa ni kugombea nafasi ya nne 🙁🙁

Wale wote walionisoma post No 38144 kwenye uzi huu na unakubaliana na kitu ambacho nilikisema nakuomba au nawaombeni munigongee like kama ishara ya kukubali kitu ambacho nilikitabiri.

Kwa ufupi nilisema hivi...mimi ni mshabiki na mpenzi mkubwa sana wa Arsenal ila leo ni lazima Man U watatufunga tena kwani Arsenal kwa Man U ni kama mbwa kamuona chatu. Imeniuma sana...lakini nilichotabiri ndicho kilichotokea.

Kama ulinisoma kwenye post hiyo No38144 naomba unigongee like kama ishara ya kukubali kile nilichosema.

Cc BAK
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MillionHairs mie nilikwambia ulichoandika ni kweli tupu. Kama umeangalia mpira wote umeona jinsi tulivyoshambulia katika game ambayo tulistahili kushinda kwa kila namna stats za mchezo nadhani umeziona, lakini ndiyo hivyo tena mbwa akina chatu. Inauma sana Mkuu. Inabidi tushinde game zote zilizobaki kati ya sasa na mwaka mpya ili kurudi kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa vinginevyo itakuwa ni kugombea nafasi ya nne 🙁🙁
Kinyang'anyiro cha ubingwa? Unaongea unatania?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom