truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
mi si nimemsifia! mkuu?! mzee wa hat trik .........
Grand PA
Poa, nilikutafsiri vibaya. Samahani!
mi si nimemsifia! mkuu?! mzee wa hat trik .........
Grand PA
Ozil will be out for at least 12 weeks.
And he wants to be out of the club too....
Kwenye hili jukwaa palivyopoa sjui limeshaliwa na mchwa mmekosa pa kuketi!!??
*****
Mpunguze kuwaita wenzenu mburukenge maana ikitokea mkachezea leo kwa Hull City nina wasiwasi hili jukwaa litakuwa "Makumbusho"