Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
sio uefa kombe lenyewe ka bonanza tu.
Kwahiyo goons wanashiriki kwenye bonanza siyo? 😦😦😦 Yaani kama lile la Leaders kila wikiendi ama?!? 😑😑😑
sio uefa kombe lenyewe ka bonanza tu.
......jiandae pa kuiweka sura yako wewe, kesho tunakuja kivingine mtashangaa wenyewe!
Kesho kwenu ni msiba nawaambia!
#ComeOnYouGunners!!!
We are ready!!!!!!
Hivi unajua hata David Dein (aliyekuwa mmiliki wa goons kwa muda mrefu tu) kipindi ni bosi wa FA naye alikuwa kwenye mtandao wa huyo mfalme unayemzungumzia!?!?
Weye jifariji tu! Yani uje kwangu alafu uniletee mbwembwe?!! Kuku wangu mwenyewe ni mshikie manati ya nini tena?
tukiwa tunasubiria mazishi ya mpendwa we2 Ars888 hiyo badae,si vibaya 2kijikumbusha aliyoyafanya enzi za uhai wake ...........
Grand PA
Wenye Nyumba hii wamekimbia mpk sasa hawaonekani!
Umefanya vzr kuwakumbusha walivyokufa Msimu uliopita!
.......View attachment 190669.....Voyeurs. :coffee:
Teh teh teh teh teh nouma sana.
BTW naona kikombe cha Ghahawa hakikauki mkuu.