The Gunners
We're underway at Villa park.
Mkuu tunaangalia mechi tofauti Campbell is a rubbish and will remain that! teh teh teh teh
what the hell is it?Fat Arse 0 Aston Villa 0 Halftime ........!
Ni kosa lipi alilofanya tangu aingie mpaka umuite rubbish...Mi sijaona popote alipokosea na mipira yote iliyomfikia kaicheza vizuri..kaokoa kwa kichwa na kaokoa mipira mingi tu kwa uzuri kabisa sasa sijui huo urubbish unaouzungumzia watoka wapi mazee,labda avurunde 2nd half
Upenzi mbaya sana home boy! Chungulia Man Citeh na Manure bonge la kipute!
Hawa jamaa siwapendi hata kidogo,sitaki hata kuwaangalia..Hii inanifanya niipende Chelsik baada ya Arsenal....Ndo maana naomba Chelsik washinde leo(pia Arsenal washinde) ili tuweze kuwaondoa hao wadudu kileleni..Together tunawakilisha...lol
...leo mbona mwamba mara nyingi?