Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger sijui ana mpango gani pale katikati.

Babu mbishi, pale kati ndo matatizo. Arteta na Flamini hawa defensive midfield hawawezi kabisa. Hawana speed wala physique. Pia wachezaji wengi sana wako light weight.
 
Hivi kwani ni lazima kila siku ozil aanze! nikweli MTU kama rosicky na oxlade ama fundi carzola hawawezi kucheza nafasi yake na ikanoga tu!aaaaargh

Yani unakuta hajitumi kwenye kukaba,anakua hayuko mchezoni kabisa,

Kwanini Wenger anamkumbatia sana?na mbona amemsahau Anko tom kabisa dah!
 
Hebu mikilize Adele hapa Wacha fujo TUPO HALFTIME .... ....

Last edited by a moderator:
Wenger ni balaa, sijui huwa anafikiria nini aisee. Yaani simuelewi kabisa sometimes.

Lazima tukubali wenger ni manager mzuri wa mipango ya nje ya timu, ila ndani ya timu, ni football inept. Kina Tonny Adams, Winterburn, Dixon, Bould walikuwaga bonge la ukuta ila aliwakuta. Hakuwaleta yeye. Hivyo yaonyesha si geneous kama tunavyodhani ndani ya uwanja. Ananiudhi sana.
 
Reactions: Nzi
poleni Ndugu zangu wa Humu kwa CL tunaongelea kwahiyo aliyekuwa hayupo CL sijui anatowa Pole ya nini Kama nyie msiba basi Maiti ni wao sijui Kama hii Weekday wanacheza???.
 
Lakini bado nina imani katika hili kundi tunavuka.

Tutapita tu hili kundi bila wasiwasi. Hofu yangu ni kwamba tutakuwa wa pili kwa mpira tunaochezaga away. Na tukiwaga wa pili twajua nini hufuata.
 
Sisi tutakuwaisha Mirembe huo ndio msaada wetu.
Wachana nao hao wivu upo kwenye Kooo zao basi inawauma kweli Toka lini maiti anatowa pole wakati CL hayupo? Wengine tumeshinda game wanatamani kumuuwa refa hongera zao wamebania wameona waje huku kutoa pole.
 
He's worth £42m..... Acheni mzee Wenger ampange ti hivyo hivyo, BTW, si ndio kina sisi fans ambao tuling'ang'ania Wenger atumie pesa kununua top Quality player aachane na wachezaji wa bei nafuu?

You only get what you wish for mate!
 
Kesho tutawaona United mtakachofanya
 
Wachana nao hao wivu upo kwenye Kooo zao basi inawauma kweli Toka lini maiti anatowa pole wakati CL hayupo? Wengine tumeshinda game wanatamani kumuuwa refa hongera zao wamebania wameona waje huku kutoa pole.

teh teh hakika ngoja tuwaache hawa wazee wa MK Dons.
 
poleni Ndugu zangu wa Humu kwa CL tunaongelea kwahiyo aliyekuwa hayupo CL sijui anatowa Pole ya nini Kama nyie msiba basi Maiti ni wao sijui Kama hii Weekday wanacheza???.

Acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa,ndugu zako kwenye lipi ?kwenye hayo mashindano wao ni wasindikizaji ndugu zao labda Man City na Spurs
 
Reactions: Nzi
Acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa,ndugu zako kwenye lipi ?kwenye hayo mashindano wao ni wasindikizaji ndugu zao labda Man City na Spurs

kila kitu kina mwanzo cku yetu ya kulibeba inakuja
 
He's worth £42m..... Acheni mzee Wenger ampange ti hivyo hivyo, BTW, si ndio kina sisi fans ambao tuling'ang'ania Wenger atumie pesa kununua top Quality player aachane na wachezaji wa bei nafuu?

You only get what you wish for mate!

Ndio tulitaka atumie kununua top quality players, lakini ambao tulikuwa tunawahitaji. Ozil lazima tukili tulimnunua tu sababu ni top quality na alipatikana kwa muda huo mfupi, tukaona tumuwahi, lakini hatukuwa tunamuhitaji. Ni babu tu mahesabu yake yalienda ovyo. Hatukumuhitaji Ozil, nafasi yake Carzola alikuwa anaicheza vizuri sana, sasa hivi Carzola anakula benchi mpaka confidence imemuondoka. Carzola wa sasa si wa 2012.
 
Reactions: Mbu

Yaani uamie Arsenal kisa tumechukua UCL?? Hatutaki wanafki. Kama wee shabiki wa kweli kwenye timu yako, huwezi hama. Shabiki wa kweli huwezi hama. Unaweza danganya tu watu. Mimi hata Arsenal ifungwe 200, nitaumia sana na naweza tamani kuhama ila siwezi. Mimi ni Arsenal ndani-nje, juu-chini, kushoto-kulia.
 
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…