this was supposed to be in MAN UTD thread bro.....kweli man utd inawanyima usingizi...
ANYWAY, kwa mtu yeyote mwenye mapenzi na man utd LAZIMA ASIKITIKE KUUZWA KWA DANNY WELBECK,huyu ni mchezaji aliekulia pale na ameonyesha atakuja kuwa mchezaji mzuri,ghafla wanaletwa mamluki na wazawa wanauzwa kirahisi kabisa!!! na kinachokera zaidi kauzwa kwa mpinzani wetu!!!!! poa tu at least i have a reason to watch arsenal games i.e watching DANNY WELBECK ONLY!!!!!!!!!!!!!!!!!
..... :coffee: View attachment 184616...... :coffee:
Kwa maana ya hawa ni kwaqmba Danny amesajiliwa kinyume na matakwa ya Wenger- mi naamini ni twisting of words, Wenger alimaanisha kutokuwepo kwake ndio kulirahisisha usajili!!
Kwa maana ya hawa ni kwaqmba Danny amesajiliwa kinyume na matakwa ya Wenger- mi naamini ni twisting of words, Wenger alimaanisha kutokuwepo kwake ndio kulirahisisha usajili!!