Egg on your face, THE DELUDED ONE. Hahahahahahahaaaaaa!!!!
Mwishoe Wellbeck ndani!! teh teh teh..
Hapo Gunners mbona spana mkononi wanapokezana kila siku Diaby,Wilshere,AOX,Rosisky,Ramsey,Gibbs now hata Ozil nae kaanza kuambukizwa
Sturidge na Wellbeck uchezaji wao ni tofauti kabisa,Sturidge ni mfungaji mzuri tatizo hakupewa nafasi ya kucheza alipokuwa Man City na Chelsea na akawa hajiamini so Rodgers alimpa nafasi na akapata confidence Liverpool walikuwa na Suarez tu kama striker.Wellbeck ni the best defensive striker workrate yake ni kubwa na anasaidia sana kukaba but sio mzuri sana kwenye umaliziaji.Arsenal wanacreate nafasi nyingi sana walikuwa wanahitaji striker ambaye ni mzuri kwenye umaliziaji kuliko Giroud na Sanogo but kwa umaliziaji still Giroud ni mzuri kuliko Wellbeck
Hata RvP alikuja akiwa spanner mkononi toka goons..ila kufika tu akatupa taji na mauzo ya jezi yake (ambayo hata msimu wa mwaka jana ndiyo iliyoongoza kwa mauzo). Unataka nini zaidi hapo?
Falcao atatupa mauzo ya jezi yake; na atatumika vizuri tu na kuleta mataji nyumbani kwa mataji :violin::violin:
Wewe si ulisema Wenger hasajili tena?
View attachment 182183
.....Stats haziongopi!
Ab-Titchaz ee, hebu nisaidie kuongeza ukubwa wa hizi stats
kwa faida ya wapenzi wa Man City, Chelsea, Arsenal, Liverpool na wana 7Up!
yaani wewe ata unga wa ubuyu sikuletei
mwaya usijal leo nimekuletyea tena za ufuta zanye maziwa ni tamujeeee??
ongeren kwa kapoint
Jack Wilshere (right) welcomes Arsenal new boy Danny Welbeck
to the team with an Instagram post
Sema tu core fans wa Manure wamechukia sana .... ... .
Sema tu wamebaki hawa waliopo JF ambao ni wapiga filimbi na zumari tu
Welbeck injured his ankle ... Typical Arsenal player, Diaby, Gibbs and Giroud have a new partner in the treatment room.
Wellberck nasikia kaumia kwe mazoezi ya team ya taifa.dah! Ile kusajiliwa tu
welcome Danny boy... suits him better than a UTD kit