Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Falcao atalipwa £ 140,000
 
Wacha uongo wewe hiyo ni media ya UK kila mchezaji lazima ahusishwe na Gunners kwanza .... ..... . naona umefufuka weekend yote uliunyuti khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nyie ni vilio tu mwaka huu 7Up!

Wewe si ulisema Wenger hasajili tena?
 

Kumbuka pia Jekinson, yule back up ya full back ya kulia kapelekwa kwa mkopo. Ina maana Chambers ndio cover ya Debuchy, Koschienly na Martesacker. Lazima atashindwa maana majeruhi yatamzidi. Kumuuza Vamerlean bila kumreplace sawasawa ni sheedah. Cha moto tutakiona tu pale tutakapokutana na wakongwe tukiwa na majeruhi.
 
Welcome to arsenal Danny Boy .. kijana kaona mbali maana aligoma mkopo kataka permanent deal

Tangu mafuriko yaje yalikusomba naona umerudi,i hope mafuriko yakiwa msimu huu hayatakubeba
 
lile balaa alilokuwa analifanya akiwa sunderland sasa atalifanya akiwa arsenal timu yenye viungo wakali kabisa uingereza...karibu arsena shabba ranks naamini utafanya makubwa kwani soka lipo na nguvu zipo
 
Kutoshiriki kwetu uefa safari hii naona kunatucost sana aisee,wachezaji wanaanza kutukimbia na kuhamia timu pinzani.Tushampoteza Welbeck tayari.Hongereni Gunners kwa kuchukua kifaa hicho,nna imani kitawasaidia sana tu


Hata mimi naona ......
 
danny mbona poa tu.................

Nami nawashangaa! Wamepumbazwa na huyu Falcao ambaye ni 31 yrs sijui, ila kazuga kibongo bongo! Danny poa kabisa, dogo, ana uzoefu na bado ana room ya kuimprove akiwa na prof. Sasa hivi Arsenal ni The Three Lions.
 
Reactions: Mbu

Niwe tofauti na watu wengi, Iam very optimistic on this kid, nafikiri amechagua timu sahihi. Time will tell, 16M was a steal. Tutatafutana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…