Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona Welbeck anataka permanent deal, Arsenal wanataka loan per Talksport radio
 
Mkuu Balantanda si tu Arsenal walikuwa wakimhitaji Falcao bali man City pia sema wao Alvaro Negredo alikuwa aende Valencia na imeshindikana ndio ikabidi Man Utd wafikiriwe.

Man Utd wanacheza na pesa na yote hiyo pesa wanayotumia karibu paundi 200 milioni kununua wachezaji na kuondoa wale wasowataka eti tu kwa sababu hawafuatikanuni mpya, inahitaji angalizo.
 
Mimi naamini Danny Welbeck atafunga magoli mengi tu kutoka supply line ya midfielders wa Arsenal na yupo sawa katika kupata na mazingira yoyote yale ya uchezaji.

Labda tu watu waseme hakuwa first choice, Yes Falcao alikuwa chaguo la kwanza na imeshindikana hiyo ndio maana ya dirisha la usajili kuwa wazi hadi mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi tatizo la Man U ni mshambuliaji au safu ya ulinzi pamoja na DM???....

Nakushangaa unaposema AW ni agent wenu...Kwani Falcao alikuwa Arsenal?

Hujanielewa mkuu rubaman anaelewa atakusaidia ,in short mafanikio ya Man United kwa kiasi fulani yamechangiwa sana na Wenger.Now anatusaidia kufanya overhaul ya kikosi chetu,kumbuka kuna kipindi alikuwa anamtaka Cleverley
 
Last edited by a moderator:
Wenger kama kawaida yake ya kusajili wapopo, sasa hivi kaamua kusajili mpopo wa zamani. Welbeck hatofanya lolote zaidi ya diving pale mbele.
 
1409569266288_Image_galleryImage_England_s_Danny_Welbeck_d.JPG

Wakuu Danny Welbeck kutoka Man Utd anafanyiwa Medical at Emirates jioni hii.

Mshambuliaji huyu ambae pia ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya England, ana umri wa miaka 23.

Huyu Welbeck anachukuliwa na Arsenal baada ya Arsenal kushindwa kumchukua Ramadel Falcao na Javier Hernandez ambae amekwenda Real Madrid kwa mkopo.

Dili la Falco likuwa ni kubwa mno karibu paundi milioni 55 na Man Utd watakuwa wanamlipa paundi milioni 6 kwa mwaka mhcezaji huyo juu ya ada kamili ya paundi miloini 50.

Huyu mzee!! Yaani katika washambuliaji wote duniani ameona huyu Shaba Ranks ndiye anayetufaa!!!
 
Dah tumekwisha yaani tunachukuwa mayai viza ya Man United wakati kina Facao wanatupita

He is believed to have agreed a deal worth £340,000-a-week

.......Mnh, maazzeeee £340,00 per week sio mchezo baba'ke!
acha tu mzee Wenger apanguae deal, BTW....Falcao mwenyewe 'mgonjwa mgonjwa!'
😛op2:

Mimi naamini Danny Welbeck atafunga magoli mengi tu kutoka supply line ya midfielders wa Arsenal na yupo sawa katika kupata na mazingira yoyote yale ya uchezaji.

Labda tu watu waseme hakuwa first choice, Yes Falcao alikuwa chaguo la kwanza na imeshindikana hiyo ndio maana ya dirisha la usajili kuwa wazi hadi mwisho.

Wellbeck ni squad player mzuri na workrate yake ni kubwa but ni mbovu sana kwenye ufungaji.Arsenal mnahitaji striker ambaye yuko vizuri kwenye umaliziaji so far mnatengeneza nafasi nyingi sana(Ramsey,Carzola,Ozil,AOX,Sanchez,Wilshere,Rosisky) but Giroud/Sanogo sio wazuri sana kwenye umaliziaji the same applied to Wellbeck
 
[/FONT][/COLOR]

.......Mnh, maazzeeee £340,00 per week sio mchezo baba'ke!
acha tu mzee Wenger apanguae deal, BTW....Falcao mwenyewe 'mgonjwa mgonjwa!'
😛op2:

Kwa Falcao nami namuunga mkono Wenger kumkataa, dude is 28, anaweza akahitaji muda kidogo kuadjust na EPL, mshahara mkubwa, bei ya kumnunulia mkubwa, injury prone! HAPANA. Hawawezi wakatuchuna hivyo.​
 
Huyu mzee!! Yaani katika washambuliaji wote duniani ameona huyu Shaba Ranks ndiye anayetufaa!!!

Dahhh, mbona hamna imani na Gaffer jamani? InArseneWenger I trust,.......😛op2:
Si ajabu akachezeshwa Centre Half halafu akang'ara vile vile!
 
1409569266288_Image_galleryImage_England_s_Danny_Welbeck_d.JPG

Wakuu Danny Welbeck kutoka Man Utd anafanyiwa Medical at Emirates jioni hii.

Mshambuliaji huyu ambae pia ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya England, ana umri wa miaka 23.

Huyu Welbeck anachukuliwa na Arsenal baada ya Arsenal kushindwa kumchukua Ramadel Falcao na Javier Hernandez ambae amekwenda Real Madrid kwa mkopo.

Dili la Falco likuwa ni kubwa mno karibu paundi milioni 55 na Man Utd watakuwa wanamlipa paundi milioni 6 kwa mwaka mhcezaji huyo juu ya ada kamili ya paundi miloini 50.

Welbeck yuko poa, ana uzoefu ukilinganisha na Sanogo. Pia bado dogo, ila sijapenda kumchukua 6M alafu kwa mkopo.
 
Wellbeck ni squad player mzuri na workrate yake ni kubwa but ni mbovu sana kwenye ufungaji.Arsenal mnahitaji striker ambaye yuko vizuri kwenye umaliziaji so far mnatengeneza nafasi nyingi sana(Ramsey,Carzola,Ozil,AOX,Sanchez,Wilshere,Rosisky) but Giroud/Sanogo sio wazuri sana kwenye umaliziaji the same applied to Wellbeck

.......Aaaarrgghhhh!? mnaanza sasa, si hamumtaki nyie? ee?!
Mwacheni Mzee Wenger amchukue, si ajabu akamchezesha half-back!
sio lazima awe mfungaji bana!.......

Hata Kolo na Thierry, waliposajiliwa Arsenal walikuwa wing-players.
 
Arsenal kwa kweli tunahitaji beki na kiungo namba 6(Arteta na Flamini) ni squad players afu tunahitaji mtu wa kumreplace Ramsey(akiumia). Mwaka jana Ramsey alipoumia kila kitu kikakwenda mrama(mlama). Naamini Sanchez atakuwa mfungaji mkubwa wetu, plus Walcott akirudi(endapo atakuwa katika form kama awali) ataongoza ushambuliaji na atafunga magoli.
 
Hujanielewa mkuu rubaman anaelewa atakusaidia ,in short mafanikio ya Man United kwa kiasi fulani yamechangiwa sana na Wenger.Now anatusaidia kufanya overhaul ya kikosi chetu,kumbuka kuna kipindi alikuwa anamtaka Cleverley

Nimekuelewa sasa Mzee wa Kuala Lumpur...

Bado haujanijibu...Tatizo la Man U ni mshambuliaji au safu ya ulinzi na DM?...

Kuna umuhimu gani wa kumsajili Falcao ilhali tayari mnao Mata, Di Maria, RVP, Rooney na Valencia?... Kwa nn LVG asisajili beki na DM ambao ni tatizo kwa Man U?
 
Last edited by a moderator:
Kipindi ambacho tulikuwa tunajizatiti kuwacheka na kuwabeza Man Utd, Wenger anawapa Man Utd ammunitions za kutucheka kama enzi za Silvestre. I hope Welbeck fails Medical na kukataa payment terms

Welbeck bado dogo, sio ka kina Silvestre. Huyu dogo Arsenal atawika tu. Vitu viwili sijapenda ni dili la mkopo na pia panki lake silipenda, maisha mapya Arsenal aache kuwa Shaba Ranks.
 
Back
Top Bottom