Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BwcAv9ACQAAwi22.jpg

FEELS LIKE DEMOTION...
 
Arsenal mkitaka kufanikiwa muanze kwanza kusajili world class manager Wenger keshachoka anahitaji kustaafu.
 
Heri yenu babu kafunga kibubu tayari na hataki stress...
Hiyo picha ameonekana Heathrow Airport anaelekea Roma kuwa refaree katika match ya Charity.

Mzee karidhika na SANOGO wake tabu iko wapi!!

View attachment 181998

"Those who may have spotted Arsene Wenger boarding a flight from London to Rome and hoping he may be on his way to sign a player will be disappointed. The Arsenal manager has agreed to manage a team in the match for peace, an interreligious game of football organised by Pope Francis and the former Argentina captain Javier Zanetti.
"It's taking place at the Olympic Stadium this evening and I'm assured Wenger has his phone on him if he wishes to do any deals - as he did while on the beach in Rio earlier this summer and at a conference in Geneva on deadline day two years ago - but unfortunately for Arsenal fans that is unlikely."
 
Mzee Wenger ni bahili sana, hivi kwake huwa ananunua kweli hata nyama?
Hata zile suti anazovaa huwa ananunua yeye mwenyewe au huwa anapewa na club?
Hivi zile degree alizonazo alisoma class au ndo zile za kupewa kama za mkuu wa kaya?
 
1409569266288_Image_galleryImage_England_s_Danny_Welbeck_d.JPG

Wakuu Danny Welbeck kutoka Man Utd anafanyiwa Medical at Emirates jioni hii.

Mshambuliaji huyu ambae pia ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya England, ana umri wa miaka 23.

Huyu Welbeck anachukuliwa na Arsenal baada ya Arsenal kushindwa kumchukua Ramadel Falcao na Javier Hernandez ambae amekwenda Real Madrid kwa mkopo.

Dili la Falco likuwa ni kubwa mno karibu paundi milioni 55 na Man Utd watakuwa wanamlipa paundi milioni 6 kwa mwaka mhcezaji huyo juu ya ada kamili ya paundi miloini 50.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Daaah!!!
 
Dah tumekwisha yaani tunachukuwa mayai viza ya Man United wakati kina Facao wanatupita
 
Kichekesho kingine ni kwamba Welbeck yupo London kenye kambi ya timu ya England ambao wanatumia uwanja wa mazoezi wa Arsenal London Colney na hawakusita kuchungulia kumuona Welbeck akifanya mazoezi.

Welbeck anasajiliwa kwa mkopo kwa kiasi cha pundi milioni 6.

Lakini Arsenal watasajili mchezji mwingine wa kiungo kufikia usiku wa leo tusubiri.

Vijana wapo busy na lolote linaweza kutokea.
 
Wakuu kuna deal lingine linashughulikiwa kama likipita ntadondosha hapa.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wote wapo katika kundi moja hawa, tofauti ni kuwa Welbeck kashafunga magoli EPL,Europe na International. I stand to be corrected

Yes upo sawasawa kabisa, katika maisha yake ya English Premier League amefunga jumla ya magoli 26 tu mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom