Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Maana ya hizi takwimu ni hatuna wachezaji wa kumalizia kazi. Striker.
Tuwape chicharito??
Maana ya hizi takwimu ni hatuna wachezaji wa kumalizia kazi. Striker.
Dah! Sawa! Noja tuwe na subira, ila kocha wetu anatuvunja mioyo, anajua au kusikia kabisa toka kwa ma-expert huko UK tunaitaji nini ili kuwa complete. Ebu cheki Chelsea, mwaka jana Mourinho alijua ni kitu gani alikuwa anahitaji kuikamilisha timu yake, mchezaji wa calibre ya Costa, world class striker. Sisi tunalazimisha Sanogo, giroud ni mzuri kama sub. Ngoja tuone anavyoisuka, ila dalili za mvua ni mawingu. Mechi yetu ya kwanza haikuwa nzuri ingawa tulishinda. Anyway! Ngoja tujenge timu ila tactics lazima professor abadilike pia!
The next half
Acheni ubahili watani!
Njooni Anfield tuwauzie Borin striker wetu chaguo la 4
Borin atawasaidia nyie sio kama Sonogo
Huyu Loic kaingia chaka, anaenda kupasha benchi. Sioni akimweka benchi Costa, au pembeni akimweka Schurrle na Hazard nje. Hapa mwendo ni league cups matches, ila mchezaji unaenda unapotakiwa. Alikuwa 'akijipendekeza' arsenal hadi kwenda uwanjani ila babu alijifanya kipofu. Sasa hivi shughuli. Mwisho wa siku who cares, mshahara mrefu, pia possibility ya kumwa na 'winners' medal. Pia depth ya kikosi, si mbaya!
Leicester haooooooooooo