Hii game inayofuata kati ya Everton na Chelsea itakuwa ni ya kuvuta nikuvute. Draw ya 0-0 itakuwa poa zaidi.
imebaki dk 30LoL! Kwa nini Mkuu? Wala tamaa hiyo sinayo.
imebaki dk 30
Hapa naomba Everton warudishe halafu mpira uishe lol!!!!

Habari zenu wakubwa