Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BwYGi4vIMAAERz1.jpg
 
..........tough game!..
...madogo wa Leicester wanakaza msuli balaa!

😛op2:​
 
Watoto wamekaza sana aisee tusubiri second half mambo yatakuwa Mazuri.
 
News in brief;.....Loic Remy, dogo alitamani sana kuja Arsenal maskini ila ndio hivyo tena,
Mourinho amempenda zaidi. Na wasiwasi yatakuwa yale ya Victor Moses,...kasajiliwa
kwa mkataba wa miaka minne kisha anapelekwa somewhere on-loan!

Majaaliwa yetu ni #Sanogo.
😛op2:​
 
Naona Rambo ameongeza nguvu hapa ..... ... ..

Huyu refa hovyo kabisa wana cynical fauls hawa refa anawaachia ... ..
 
Back
Top Bottom