Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vijana ndio wanaingia uwanjani.
Kila la kheri kwa Gunner naamini point 3 muhimu leo zipo.
#COYG .
 
BwYI-JuCIAARdDW.jpg
 
Umepanick man tulia

Kupanic? Mbona tunatumia vitu visivyo, ntapaniki vipi wakati sipo katika situation ya kunipanikisha? Hili jambo la kulaumu wachezaji sijalisikia katika JF tu, kuna forums nyingi online naona wapenzi wa Arsenal wanamlalamikia mchezaji mmoja hadi mwingine. Ramsey, Giroud, Sanogo, Ozil hata wakiangalia pembeni wanalalamikiwa. Hawa ni binadamu huwa wana siku nzuri na mbaya, sio mashine zinazoendeshwa kwa mafuta au umeme. Inachosha, support team mkuu
 
Acha siasa man .. tunaenjoy game ..
 
Back
Top Bottom